LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Muruto atasema Mbowe aende polisi akafungue jaladaNatarijia MUROTO atawatafuta hao WAHUNI waliompiga MWAMBA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muruto atasema Mbowe aende polisi akafungue jaladaNatarijia MUROTO atawatafuta hao WAHUNI waliompiga MWAMBA.
Kub maisha club anafanya nini?Wanachadema wakiongozwa na ngurumo wameanza kuvumisha taarifa za uongo kuwa amepigwa so sad,Waliokuwepo maisha club watasema ukweli,jinsi mbowe alivyosukumwa na kimada wake aliemnunua hapa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]usitumie nguvu nyingi kupotosha ukweli
Jr[emoji769]
Huu ujinga ulioandika hapa ingekua ni Chadema ndio wameandika hivi mngeanza maneno ya kusema Chadema hawamuheshimu.... Sawa subiri. Mtafiwa tu nakuweka kiporo wewe mbwamiguu ya mbowe mibovu siku nyingi kuna wakati huwa anatembelea magongo ikipona inatulia kidogo inaanza tena isiwe imeanza tena akitembelea magongo isemwe imevunjwa msema kweli mpenzi wa Mungu abishe kama hakuna wakati huwa anatembelea magongo
Kwenye 18 zangu hatoweza hata kunyanyua kichwa kunitazama.wewe unamjua vizuri huyo jamaa[emoji16][emoji16][emoji16].
kuna kubaka na kubakwa
kukaba na kukabwa
nenda na 1 kichwani bana.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
hawez kusema ila anakumbuka ni rahis kusema jiran kalala njaa ila so kusema ww umelala njaaZito alitaka kupewa sumu ila huko ccm sumu mnapewa kabisa au umesahau juzi tu
Ni bora ulivyotangulia kuandika ni maoni yakoMh. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha
kwani hata kama kashambuliwa inazuia nn huyo mtaja mbinu kutaja hizo mbinu zilizo tumika kumshambulia lisuBaada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
miguu ya mbowe mibovu siku nyingi kuna wakati huwa anatembelea magongo ikipona inatulia kidogo inaanza tena isiwe imeanza tena akitembelea magongo isemwe imevunjwa msema kweli mpenzi wa Mungu abishe kama hakuna wakati huwa anatembelea magongo
Nashashauri Asitibiwe Apo watamchoma sindano Tumpeleke kenya au ubelgijiWameshindwa kumtoa kweny uenyekit sasa wameona heri wamuue
Lumumb sio watu wazur
Anaweza kweli akasema hawafanyii kazi taarifa za Mitandaoni halafu wanamtafuta KIGOGO kwa Kupost habari hizo hizo za mitandaoni.Muruto atasema Mbowe aende polisi akafungue jalada
Kwani green guard wanapokea amri toka kwa Mbowe?Mbowe anatengeneza tukio ili apate umaarufu wa kisiasa kipindi hiki cha uchaguzi.