Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
RPC wa DOM kwenye Nipashe leo, amethibitisha kushambuliwa sasa hayo mashaka yanatoka wapi? Tunahoji tu hata kama wengine si Wanasiasa..!Mmhh hizi sarakasi sasa amepigwa au ameanguka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RPC wa DOM kwenye Nipashe leo, amethibitisha kushambuliwa sasa hayo mashaka yanatoka wapi? Tunahoji tu hata kama wengine si Wanasiasa..!Mmhh hizi sarakasi sasa amepigwa au ameanguka?
Kwani kuna curfew?Saa Saba usiku alikuwa anatoka wapi? Mbona usiku mwingi huo??!!!
Alikuwa kwa mchepuko MkuyaSaa 7 za usiku kiongozi mkubwa anaranda mitaani anatokea wapi?
Mbowe ana mlinzi,gari na dereva wa serikali,walikua wapi?
Kikosi cha ulinzi cha chadema kilikua wapi?
Kwa ninavyomjua mbowe,lazima alikuwa katoka kucheza nje cup!
Kuna maswali ya kujiuliza ndani wanachadema,kabla kunyooshea vidole serikali
Saa 7 usiku kiongozi unatakiwa uwe umelala au upo nyumbani,alikua anatoka wapi?
Red brigade walikua wapi?
kwani kwa lisu cctv zilienda wapiSawa halali, sasa alikuwa ana rudi kwa miguu?? Au kwa Gari, gate anafungua mwenyewe au anafunguliwa?? Hana cctv hapo kwenye gate na gari yake haina cctv
Mkuu hapo juu nimekuelewa ingawa siko 100% ktk mawazo yako.Jana nilipoziona tu zile Nondo Kali na zenye Mashiko za Mheshimiwa Tundu Lissu nilihisi kabisa kuwa ili kuwapoteza Watu na Kuyahamisha Mawazo yao katika Kukijadili au Kuyajadili yale aliyoyaandika ambayo yote ni mazuri basi ni lazima tu Spinning ya Hatari ingefanyika. Kilichofanyika ni kutaka Kufunika alichokifanya Lissu jana kuanzia leo Watanzania wote tujikite zaidi katika Kuzungumzia hili lililomkuta Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Na Kiutaalam zaidi ili kuonyesha kuwa hawa Wapumbavu ( Wahuni ) wanaolelewa vibaya na Idara ya Usalama nchini ( SSIT ) walijipanga ni kwamba itakuwa walijipanga tokea pale Taarifa za Mheshimiwa Tundu Lissu aliposema kuwa atazungumza na Watanzania hivyo hata Wao walishajipanga na walipoona Jana Mheshimiwa Tundu Lissu katoa Nondo ile Kabambe basi na Wao wakaamua Kulitekeleza hilo walilolitekeleza...
Hili la walinzi walikuwa wapi na mimi najiuliza ,labda tusubiri taarifa ya tukioHivi ameshambuliwaje?
Kwenye mazingira gani?
Walinzi au mabodigadi wake wakiwa wapi?
Dah Noma sanaKama ni kweli alikuwa kwa vimada basi amepata alichokuwa anakitafuta. Na hii ni tabia ya wanaume wengi wa Dar kurudi saa tisa au nane Alfajiri nyumbani .
Duh mazitoMkuu niwie radhi ila nakuheshimu mno, kwa ulicho andika hapo ni kweli imetokea hivyo au kwa heshima yao umeamua tu kuandika haya?
Jamaa wanaboa bana acha wapate wanachokilea ....Hata Mimi huwa nashangaa,huu unyonge unatoka wapi? Kinachotakiwa ni kauli tuu.
We jamaaa bn ccm tambeni bana upinzani wenyewe umebaki mitandaoni Field hakuna tambeni bn nchi yenu hiimiguu ya mbowe mibovu siku nyingi kuna wakati huwa anatembelea magongo ikipona inatulia kidogo inaanza tena isiwe imeanza tena akitembelea magongo isemwe imevunjwa msema kweli mpenzi wa Mungu abishe kama hakuna wakati huwa anatembelea magongo
Mkuu hapo juu nimekuelewa ingawa siko 100% ktk mawazo yako.
Upi kaka ameshaona upinzani hata akifanya chochote watabaki wanalala mitandaoniJiwe kaamkia upande mbaya