mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Saa sita usiku mbowe alikua anatoka wapi na Kwanini alisimamisha gar? Mkitupa majibu ya haya maswali Basi tutaelewa Gendelichuma18,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni lofa hizo 7000/- unazolipwa zisikufanye uwe lofaInaweza kuwa chadema kwa chadema mkuu CCM haiwezi kufanya move ya kipuuzi kama hii
Mkuu..kwa hiyo bodyguard wake nae atakuwa kajeruhiwa?Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
Nisamehe ndugu kwa kukuchanganya. Nilipoandika hayo nilikua na maana ila nna uhakika na baadhi taarifa ulizoandika na kinadharia inaezekana ila kuna maoni yako umeyatoa hapo ndo siko nawe kwani nami nna yangu.Hivi unaposema umenielewa hapo juu ( kwa nilichokiandika ) halafu hapo hapo tena unaema ingawa siyo kwa 100% katika Mawazo yangu ndiyo unakuwa umesema nini sasa au nikueleweje au Wandugu hapa nao wakueleweje labda? Ningekuona uko makini baada ya kusema kuwa siyo kwa 100% basi nawe pia ungetoa Maelezo yako yenye Mantiki na Tija ila bahati mbaya umejibu kama vile hapa ni Facebook au Instagram huko.
Mmefanya haya ili kuzima mjadala wa tundu lissu, stupid idea!Ningependa kuwauliza chadema au Kama watashindwa kujibu Basi itabidi tunasubiri Mbowe mwenyewe aje atupe majibu
Mwenyekiti Mbowe inasemekana kavamiwa na watu na kumjeruhi huku chadema wakidai kuwa ni shambulio la kisiasa kwa sababu walio kuwa Wana mshambulia walikuwa wanasema baadhi ya maneno mfano, Acha kumsema sema vibaya Rais
Kulingana na tukio lilivyo inaonyesha wazi kabisa kuwa chadema hii wamepanga wao ili kutafuta huruma kwa Wananchi
Mbowe anaweza kutuambia muda huo saa sita alikuwa anatoka wapi na walimshambulia akiwa wapi? Na Kama walimshambulia njiani alipokuwa anaelekea kwake Kwanini alisimamisha gari usiku Tena saa sita? Pia huenda mbowe atakuwa alivamiwa akiwa amesimama sababu Sio Rahisi mtu yupo ndani ya gari Tena usiku uweze kumshambulia ki rahis.
Na je Kama Mbowe alishambuliwa wakati amesimama alikuwa anafanya Nini ilo eneo na alikuwa anatoka wapi uo usiku?
Pia nimeona baadhi ya Uzi zinazidi kudhihirisha kuwa chadema hii wamepanga na kutaka kuleta lawama kwa serikali pale wanapo sema Mbowe kavamiwa sehemu yenye ulinzi mbona walinzi hawakuwepo? Hii ni point ya kijinga na fikirishi na inatoa picha ya kuwa chadema huwa wanafanya Mambo Yao kwa kutumia udhaifu wa serikali kwenye maswala ya ulinzi.
Huwa wanatafuta maeneo ambayo kwa namna moja au nyingine lazima kuwe na ulinzi ili wakifanya matukio Yao waje kuhoji serekali ulinzi uko wapi na kuwatupia lawama ili ionekane serekali ndio imepanga na yenyewe ndio ilio toa ulinzi eneo lile
Ili tukio linaonesha dhahir kuwa hata lile la Tundu Lissu lilipangwa
Inasemekana ni mtu 3 tuu imemburuza ina maana alikuwa peke yake?na kama alikuwa peke yake mda huo bado kuna wasiwasi na kama alichelewa kurudi kazini lazma mlinzi alikuwepo.mbona sijasikia lolote kuhusu mlinzi.Mkuu nawe tumia akili hata kama ana mlinzi, wakitokea hao vibaka 10 Huyo mlinzi 1 atafanya nini? Kuhusu swala la muda nayo ni hoja dhaifu.
Magufuli hapo ana husika niniHatuna uhakika.
Ila haya mambo yanayotokea Yana mfelisha sana magufuli na kumpa sifa mbaya.
Kama una uhakika na uongozi wako KWANINI UYAFANYE HAYA?.
Mwisho wa siku ukiondoka watu watasema.
"Alitujengea barabara,alituwekea umeme alitujengea madaraja n.k. lakini pia alikuwa ni MTESAJI NA MUUAJI".
hyo sio sifa NZURI.
Mawazo mafupi kama ulrefu wa nziSaa 6 usiku? Alikuwa anatoka wap? kuna shughuli za Chama muda huo zinafanyika?
Facts-: 1)wasiojulikana ni usalama wa taifa.(by Malima-RC Mara)View attachment 1472626
View attachment 1472650
Salaam,
Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza.
Tukio hili limetokea majira ya saa 6-7 usiku.
Mhe. Mbowe amekimbizwa Hospitali ya Ntyuka iliyopo jijini Dodoma.
Kamanda Muroto amesema wamepata taarifa kuwa kavunjwa mguu wa kulia na amelazwa Wodi namba 4 hospitalini hapo. Amesema taarifa zaidi zitafuata
MAONI YANGU:
Mh. Mbowe kuvamiwa na kupigwa eneo la Area D, jijini Dodoma, Mtaa wa Sengia; linalotajwa kuwa na ulinzi wa kutosha, kama ilivyotokea kwa Lissu kunaacha maswali mengi, je, hili linaweza kuwa limechochewa na Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa JMT October 2020? Ni hasira au kitu gani? No one knows.
Bado najiuliza; hivi kama Taifa kwa tabia hizi za kihuni tunaelekea wapi? Hawa wanaojichukulia sheria mikononi kila siku wanafanya hivyo kwa kutumwa na nani? Matendo haya yataendelea kwa viongozi wa upinzani mpaka lini?
We need to wake up, better late than never.
Nasikia amekanyagwakanyagwana watu watatu. Miguu na mikono imevunjika. Maigizo bin drama.Kama mataga mliweza kutetea Lissu kupigwa risasi 16 mchana kweupe sembuse mbowe kuvunjwa mguu!
Muigizaji ni nani hapo?Nasikia amekanyagwakanyagwana watu watatu. Miguu na mikono imevunjika. Maigizo bin drama.
Sorry mkuu but only word to describe you is evilHawa ni vijana wa chadema wasiopendelea namna mbowe anavyokiendesha chama,lakini hizi pia ni salamu kwa lissu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Unataka kusema KUB alikuwa anatokea night club?Dodoma kama ilivyo Dsm pana matukio mengi ya kihalifu nyakati za usiku na hasa kuanzia saa 5.
Nakumbuka hata mbunge Moses Machali wa Nccr mageuzi wakati huo aliwahi kuchapwa chapwa bakora na majambazi wakati akirejea nyumbani kwake usiku mzito baada ya kazi ngumu ya kulijenga taifa.
Ni tukio la Tundu Lisu pekee ndio litabakia kuwa historia kwa sababu lilifanyika saa 7 mchana wakati akitokea bungeni siyo Night club.
Maendeleo hayana vyama!