SOLD: Dodoma, nauza gari nipate ada M5 Cresta Gx100 kwa sh. 2.7 milioni

Status
Not open for further replies.

Chizimtoto

Member
Joined
Mar 15, 2019
Posts
10
Reaction score
8
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo Dodoma nauza gari langu T 456 BEA, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri, halijawahi kupigwa rangi mpya hiyo n rangi yake ya dukani, Mziki mkubwa.. haina tatzo lolote kila kitu kipo kama lilivyokuwa jipya. Njoo na fundi wako unae mwamini ili hakuhakikishie.
Nb. Bima imeisha na ya kurenew

0756086125 kuona bure.
 
Mmh, aisee...! Yaan hili unanunua halafu unalifungia gesi kabisa
 
Basi tu pesa hakuna, hiyo bei iko chini sana.
 
Pole sana mkuu. Maana kama haina sida, hiyo bei ni ya chini sana.
NB:
Hivi kuna magari yanatoka kiwandanai na rangi zilizo changanywa hivyo? au ulitoa order wapake hizo rangi.
 
Umepata?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…