Chizimtoto
Member
- Mar 15, 2019
- 10
- 8
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo Dodoma nauza gari langu T 456 BEA, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri, halijawahi kupigwa rangi mpya hiyo n rangi yake ya dukani, Mziki mkubwa.. haina tatzo lolote kila kitu kipo kama lilivyokuwa jipya. Njoo na fundi wako unae mwamini ili hakuhakikishie.
Nb. Bima imeisha na ya kurenew
0756086125 kuona bure.
Nb. Bima imeisha na ya kurenew
0756086125 kuona bure.