SOLD: Dodoma, nauza gari nipate ada M5 Cresta Gx100 kwa sh. 2.7 milioni

Status
Not open for further replies.

Chizimtoto

Member
Joined
Mar 15, 2019
Posts
10
Reaction score
8
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo Dodoma nauza gari langu T 456 BEA, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri, halijawahi kupigwa rangi mpya hiyo n rangi yake ya dukani, Mziki mkubwa.. haina tatzo lolote kila kitu kipo kama lilivyokuwa jipya. Njoo na fundi wako unae mwamini ili hakuhakikishie.
Nb. Bima imeisha na ya kurenew

0756086125 kuona bure.
IMG-20190708-WA0025.jpeg
IMG-20190708-WA0022.jpeg
IMG-20190708-WA0027.jpeg
IMG-20190708-WA0021.jpeg
IMG-20190708-WA0020.jpeg
IMG-20190708-WA0023.jpeg
 
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo UDOM nauza gari langu T 456 BEA nikalipe Ada, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri, halijawahi kupigwa rangi mpya hiyo n rangi yake ya dukani, Mziki mkubwa.. haina tatzo lolote kila kitu kipo kama lilivyokuwa jipya. Njoo na fundi wako unae mwamini ili hakuhakikishie.
Nb. Bima imeisha na ya kurenew

0756086125 kuona bure.View attachment 1152691View attachment 1152692View attachment 1152693View attachment 1152694View attachment 1152695View attachment 1152696
Basi tu pesa hakuna, hiyo bei iko chini sana.
 
Pole sana mkuu. Maana kama haina sida, hiyo bei ni ya chini sana.
NB:
Hivi kuna magari yanatoka kiwandanai na rangi zilizo changanywa hivyo? au ulitoa order wapake hizo rangi.
 
Nawaamkia wanajamii forum. Kama ulikuwa na hamu ya kumiliki gari, nafasi hii apa. sina mengi nipo UDOM nauza gari langu T 456 BEA nikalipe Ada, M5 Gx 100 kwa shilingi 2.7 milioni. Gari lipo vizuri, halijawahi kupigwa rangi mpya hiyo n rangi yake ya dukani, Mziki mkubwa.. haina tatzo lolote kila kitu kipo kama lilivyokuwa jipya. Njoo na fundi wako unae mwamini ili hakuhakikishie.
Nb. Bima imeisha na ya kurenew

0756086125 kuona bure.View attachment 1152691View attachment 1152692View attachment 1152693View attachment 1152694View attachment 1152695View attachment 1152696
Umepata?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom