Hapo No4:Kisasa mkuu!Hii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni.
Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia.
Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu vizuri hasa Makazi.
Kama umefika Dodoma hivi karibuni au hata kuangalia insta, Tiktok utaona real estate ya Dodoma inakuja kwa kasi mno hata Dar ikasome kuanzia Apartments, hotels, AirbnB etc
Hizi ni baadhi ya sehemu ambazo ukitembelea utakubaliana na mimi.
1. Itega - ianshika namba moja kwa Dodoma, wanaishi wazito huu mtaa uliopo chini ya mlima kama unaenda gereza la isanga. Sharti la kujenga ni kuanzia ghorofa moja, kiwanja kuuzwa 1 billion sio jambo la kushangazwa kutokana na value ya eneo na kumepangwa kweli kweli hiyo Mijengo Mbweni JKT akasome.
2. Njedengwa- naipa namba mbili, huu mtaa upo chini ya mlima kama unaenda iyumbu kule Udom. Kuna makazi ya watu, taasisi za umma na binafsi kama Tume ya Uchaguzi HQ. Huku kuna balaa watu wamejenga hadi unasema pesa wamepata wapi. Kwa kuongezea kuna Hotel Mbili za Nyota tano zinajengwa, ile ya Bunge la Afrika kushirikiana na Bunge Tz pamoja na ile ya NSSSF ili kuendana na kasi ya Jiji lakini kuhost diplomats, UN guests and high profile foreigners watakao kuwa dodoma msalato international airport ikikamilika.
3. Mkalama/ Makulu Oyster bay
Huu mtaa una washua balaa, kina Biteko etc wameshusha vitu na apartments zile za modern luxury zinajengwa na zingine zipo tayari.
4. Ilazo - kumenyooka huku hamna slums ni vitu fulani hivi vya kishua na barabara kiwango cha lami kwenye mitaa yake.
5. Medeli - Huku ndio kuna shopping malls, restaurants, ofisi za umma na bifnafsi na hotels za kisasa, in short panakuwa kwa kasi sana. Kiwanja kuuzwa 2 billion sio maajabu huu mtaa.
6. Kisasa- huku ni kama Sinza ya Dar, kumechangamka sana yaani ni mtaa unajitosheleza karibia kila kitu, tofauti na sinza huku hamna slums, kumepangwa vizuri barabara za mtaa almost zote zina lami.
7. Mlimwa C - huku ndio kule kwa Waziri Mkuu, chini ya mlima watu wanashusha mansion kama uyoga ndipo kuna royal village.
8. Mtumba City - kwasasa kuna modern state of art ministerial offices, ila kwa baadae patakuwa kufuru kutokana na modern hotels, restaurants and apartments ambazo zipo underway.
Sehemu zingine kuna Iyumbu, Ntyuka, Tambuka reli street etc
Dodoma Uncle magu angekuwepo sijui tungekuwa tunaongea nini.
Kwasasa ndio Jiji la tatu linalokuja kwa kasi baada ya Dar na Mwanza, hivyo Mwanza kaa tayari kushika namba tatu by 2030
Kukavu ila Kila zao linakubali ukimwagilia,huna haja ya mbolea!Dodoma Kwenye Miundo mbinu Wamejitahidi,Ila Changamoto ya Dodoma Ni kukavu Balaa
Hiyo miji kuifananisha na dar unaikosea sana dar ni pakufananisha na nairobi au a abuja, lagos..Hii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni.
Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia.
Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu vizuri hasa Makazi.
Kama umefika Dodoma hivi karibuni au hata kuangalia insta, Tiktok utaona real estate ya Dodoma inakuja kwa kasi mno hata Dar ikasome kuanzia Apartments, hotels, AirbnB etc
Hizi ni baadhi ya sehemu ambazo ukitembelea utakubaliana na mimi.
1. Itega - ianshika namba moja kwa Dodoma, wanaishi wazito huu mtaa uliopo chini ya mlima kama unaenda gereza la isanga. Sharti la kujenga ni kuanzia ghorofa moja, kiwanja kuuzwa 1 billion sio jambo la kushangazwa kutokana na value ya eneo na kumepangwa kweli kweli hiyo Mijengo Mbweni JKT akasome.
2. Njedengwa- naipa namba mbili, huu mtaa upo chini ya mlima kama unaenda iyumbu kule Udom. Kuna makazi ya watu, taasisi za umma na binafsi kama Tume ya Uchaguzi HQ. Huku kuna balaa watu wamejenga hadi unasema pesa wamepata wapi. Kwa kuongezea kuna Hotel Mbili za Nyota tano zinajengwa, ile ya Bunge la Afrika kushirikiana na Bunge Tz pamoja na ile ya NSSSF ili kuendana na kasi ya Jiji lakini kuhost diplomats, UN guests and high profile foreigners watakao kuwa dodoma msalato international airport ikikamilika.
3. Mkalama/ Makulu Oyster bay
Huu mtaa una washua balaa, kina Biteko etc wameshusha vitu na apartments zile za modern luxury zinajengwa na zingine zipo tayari.
4. Ilazo - kumenyooka huku hamna slums ni vitu fulani hivi vya kishua na barabara kiwango cha lami kwenye mitaa yake.
5. Medeli - Huku ndio kuna shopping malls, restaurants, ofisi za umma na bifnafsi na hotels za kisasa, in short panakuwa kwa kasi sana. Kiwanja kuuzwa 2 billion sio maajabu huu mtaa.
6. Kisasa- huku ni kama Sinza ya Dar, kumechangamka sana yaani ni mtaa unajitosheleza karibia kila kitu, tofauti na sinza huku hamna slums, kumepangwa vizuri barabara za mtaa almost zote zina lami.
7. Mlimwa C - huku ndio kule kwa Waziri Mkuu, chini ya mlima watu wanashusha mansion kama uyoga ndipo kuna royal village.
8. Mtumba City - kwasasa kuna modern state of art ministerial offices, ila kwa baadae patakuwa kufuru kutokana na modern hotels, restaurants and apartments ambazo zipo underway.
Sehemu zingine kuna Iyumbu, Ntyuka, Tambuka reli street etc
Dodoma Uncle magu angekuwepo sijui tungekuwa tunaongea nini.
Kwasasa ndio Jiji la tatu linalokuja kwa kasi baada ya Dar na Mwanza, hivyo Mwanza kaa tayari kushika namba tatu by 2030
Ni kweli, asili ya dodoma ni ukame ila kwa dunia ya sasa hii sio excuse, jitihadi zifanyike kwa Serikali na watu binafsi kubadili taswira ya ukame. Inawezekana!Dodoma Kwenye Miundo mbinu Wamejitahidi,Ila Changamoto ya Dodoma Ni kukavu Balaa
Labda kwasababu kisasa ina lami za mitaa karibu zote, umewahi kufika Makulu Oyster bay kule Mkalama kwa Biteko?Hapo No4:Kisasa mkuu!
Dodoma ni Modern City, Dar ni old city with modern buildings and slums kitu ambacho dodoma hakipo.Hiyo miji kuifananisha na dar unaikosea sana dar ni pakufananisha na nairobi au a abuja, lagos..
Dar ni mji ambao unapata hitaji lako kulingana na budget yako na thamani yako.
Kwanini unafikiri hivyo?Kujenga mansions ni jambo la kawaida, lakini gharama za upkeep na utility services kwa mazingira ya Dodoma ni changamoto kubwa.
Sijafikiria, huo ndio uhalisia.Kwanini unafikiri hivyo?
Mazingira gani ni rahisi kwa gharama za upkeep and utility services?Sijafikiria, huo ndio uhalisia.
Eeh mkuu nipo Dodoma Kwa zaidi ya miaka 15, nilikuwa kampuni flani kama salesman kote huko nimrvuluga,yalikuwa mapori sana,jioni ikifika mafisi balaa!Nala,Vikonje,Nkuhungu,Kizota,Zuzu,Mailimbili,Chang'ombe,Area A,CD ,Ng'ong'ona,Iyumbu nk!Labda kwasababu kisasa ina lami za mitaa karibu zote, umewahi kufika Makulu Oyster bay kule Mkalama kwa Biteko?
Mwanza au Dar.Mazingira gani ni rahisi kwa gharama za upkeep and utility services?
Aaah kumbe mkongwe, kuna mshikaji wangu alinunua Kiwanja huko Zuzu karibu na kwa Pinda, saivi anasema vimepanda bei kwasababu lami imefika huko ZuzuEeh mkuu nipo Dodoma Kwa zaidi ya miaka 15, nilikuwa kampuni flani kama salesman kote huko nimrvuluga,yalikuwa mapori sana,jioni ikifika mafisi balaa!Nala,Vikonje,Nkuhungu,Kizota,Zuzu,Mailimbili,Chang'ombe,Area A,CD ,Ng'ong'ona,Iyumbu nk!
Sababu?Mwanza au Dar.
Acha kukariri next 20 years Dodoma. ndo itakuwa habari ya mjini..Dara hataona ndani.Hiyo miji kuifananisha na dar unaikosea sana dar ni pakufananisha na nairobi au a abuja, lagos..
Dar ni mji ambao unapata hitaji lako kulingana na budget yako na thamani yako.
Jibu si ni lile lile ulilo uliza mwanzo.Sababu?
Umeongea kweli Mkuu, kuna namna naona hujuma dhidi ya Jiji la Dodoma tangu afariki Magufuli, Rais hakai Ikulu ya Dodoma kama Dar na TunguuAcha kukariri next 20 years Dodoma. ndo itakuwa habari ya mjini..Dara hataona ndani.
Dodoma inakuwa kwa kasi kuliko mji wowote hapa Tanzania. japo Wazaramo akina Kikwete wanaihujumu kwa kutopeleka miradi ya maana.
Aisee Kama.una hela kanunie hata pori 50KM from cty centre utanishukuru baadae.mimi sipo Dom ila ushauri wangu ndo huo
mazingira kivip?Jibu si ni lile lile ulilo uliza mwanzo.