Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

Southern Empire-Dodoma. 24th & 25th July 2026. Juma Nature, Ben Paul will be performing. No need to carry cash. Pay your services conveniently using Mixx by Yas
Afadhali umenipa hii taarifa maanake nilikuwa na ratiba ya kwenda huko. Hii ya wasanii ina watu wake.
 
Dodoma ndio mji unaokuwa kwa kasi kwa sasa. Kwa wale wapambanaji huku ndio kwa kuwekeza kwa sasa.
Hardware
Magari ya kubeba vifusi na mchanga(tipper)
 
Ninaipa Dodoma miaka 5 itakuwa balaa sana,naona hata wafanyabiashara wenye mahela yao sasa wanapigana vikumbo kununua maeneo ya katikati ya mji kwa kuvunja majumba ya zamani...
 
Back
Top Bottom