- Thread starter
- #241
Mmechanganya madesaEti Dodoma imedumaa Toka miaka ya 80, Serikali ilikuwa inajenga wapi?
Hata sensa tuu kufuatilia matokeo umeshindwa,growth rate ya Dar ni chini ya 2% wakati ya Dom ni 4%
Mmechanganya madesaEti Dodoma imedumaa Toka miaka ya 80, Serikali ilikuwa inajenga wapi?
Hata sensa tuu kufuatilia matokeo umeshindwa,growth rate ya Dar ni chini ya 2% wakati ya Dom ni 4%
Basi pambe sana takua huko soon inshaallahDuuh ndio maana, saivi sio kama ilivyo 2023.
MkuuDah mbona mimi msafi 😂
sawa, nami nitarajia kwenda huko end of yearBasi pambe sana takua huko soon inshaallah
Kwanini wengi wachafu?Mkuu
Zingatia neno wengi.
Natambua uwepo wa wachache walio nadhifu, wastaarabu na wanaojielewa.
nafikiri hali ya hewa inaweza kuwa inachangia.Kwanini wengi wachafu?
Ni kweli, joto sana huku, unatoka kuoga mvua inanyesha nje lakini una sweat ila Dar 😂🙌nafikiri hali ya hewa inaweza kuwa inachangia.
kama huna hela za kutosha Dar utaishi kwa tabu sana na mateso ya hali ya juu.Ni kweli, joto sana huku, unatoka kuoga mvua inanyesha nje lakini una sweat ila Dar 😂🙌
Wapi ni nafuu kuishi?kama huna hela za kutosha Dar utaishi kwa tabu sana na mateso ya hali ya juu.
Toa maoni yako
Yeah manInteresting...
Ukiwa na uhakika wa cash flow, Tanzania unaweza kuishi popote.Wapi ni nafuu kuishi?
Pamoja na sababu zote hizi dar es salaam will still be commercially and business centre of Tanzania in many years to come. No any projection which favours dodoma to overtake dar es salaam city. Dar es salaam still expanding industrial bado zinaendelea kujengwa dar es salaam. Steel industry hata Mwanza kipo, even makambako wanategemea kujenga steel industryKwasasa ni administrative, kwa mbele itakuwa ni both administrative and commercial, unajua kwanini?
1. Central location of Dodoma, ina coordinate corridors of business from all directions within the country
2. SGR network- hii ndio reliable and fast business carriageway ambapo largest inland dry port ipo dodoma kwasasa, mizigo ya bandarini inapark na kupakuliwa Dodoma.
3. Msalato International Airport- huyu ni kiungo mwingine mkubwa wa anga la biashara na utalii
4. Population- demographic statistics show Dodoma is rapidly expanding population due to infrastructure networks and shifting government functions to Dodoma.
5. Industrialisation- due to inland dry port, Chinese and other foreigners saw huge opportunities for industry, Steel company is set to begin constructing largest industry in East Africa.
6. Government policies now favors Dodoma in many aspects including business and investment development.
And other factors.
Dodoma would not only be a well established administrative capital but also a business hub after Dar es Salaam.
Acha tuendelee kukomaa mjini hapaUkiwa na uhakika wa cash flow, Tanzania unaweza kuishi popote.
Regardless whether Dodoma will overtake Dar or not, that's the point of time.Pamoja na sababu zote hizi dar es salaam will still be commercially and business centre of Tanzania in many years to come. No any projection which favours dodoma to overtake dar es salaam city. Dar es salaam still expanding industrial bado zinaendelea kujengwa dar es salaam. Steel industry hata Mwanza kipo, even makambako wanategemea kujenga steel industry