Watu wengi ambao hawajafika Dodoma huwa wanafikiri mji wa serikali upo Mtumba pekeyake😀😀Kiuhalisia Tambukareli ,Medeli,Njedengwa huko kote serikali imetapakaa mashirika,idara,taasisiHapo juu ni baadhi ya mji unaopatikana Dodoma, eneo linaitwa NCC Link au Tambukareli ilipo Makao Makuu ya Mahakama- Judiciary square