The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Tanzania 🇹🇿 Nchi maskini miji huwa ina hama.haiwezi kukua kwa pamoja. Dom itaipiku Dar huko mbeleni. Bahari siyo lolote hata mombasa kuna bahari lakini Nairobi ni ya motoKumbuka Dar na Mwanza ni Majiji ya Kibiashara. Capital city inakuwa na majengo mengi ya taasisi. Mara nyingi Majiji ya kibiashara ndiyo yanakuwa maarufu zaidi ya Capital city! Hiki ndicho kinanipa uhakika Dodoma haitakaa iipiku Mwanza au Dar. Maana kama magorofa makubwa hata Mwanza yaoo yanajengwa, vyuo vikki vinajengwa kama uyoga. Hotel ya Nyota ipo ya nssf inajengwa pale karibu na chuo cha bot