- Thread starter
- #161
Kuna jamaa yupo YouTube anaonesha hizo prime location kwa Drone with background music ya kibongo 🙌Hakuna hata Vlogger aliyeonyesha hayo maeneo? Chinduli The Navigator fanya jambo.
Kuna jamaa yupo YouTube anaonesha hizo prime location kwa Drone with background music ya kibongo 🙌Hakuna hata Vlogger aliyeonyesha hayo maeneo? Chinduli The Navigator fanya jambo.
Na huo wingi wa watu ndio turufu ya kupanua mji! Mipango miji ya Mwanza ukiiangalia kwa kupitia milimani utaona haijapangwa lakini sasa hivi kwenye tambarare za Mwanza mji unapangwa unapangika. Tembelea Malimbe, Nyegezi, njia ya airport ukiwa unaelekea Kayenze, angalia kote huko Buswelu, Nyamhongolo, Kisesa n.k. huwezi kukuta slums tena! Lami kote huko zinamea! SGR pale mjini iko inaendelea. Ngoja tusubiri hiyo 10 years kama Dodoma atatoboa!Kitu pekee ambacho labda Dodoma haitaipiku Mwanza ni population tu manake Wasukuma wanazaliana sana+hawanaga uzazi wa mpango😅😅 lakini vigezo vingine vyote mfano ubora wa mipangomiji, ubora wa miundombinu,ubora wa huduma za kijamii ,vyuo vikuu,maghorofa+majengo ya serikali ,mtandao mpana wa lami,uwepo wa taasisi nyingi za serikali,balozi ,mashirika ya kimataifa,makao makuu ya chama+serikali n.k MWANZA ndio ikajifunze Dodoma huo ndio ukweli mchungu
Nitapita siku nikija dodoma, nina list ndefu ya sehemu za kutembelea sijui kama nitamalizaHapo umenipata,sasa ukiwa unapita hiyo road ya Chinangali kuelekea Wajenzi,kushoto kwako ndo kuna Area A na Chamwino. Siku moja utembee kwa miguu ukipata nafasi,nyumba zimepangika ila zimechoka haswaa, ni za urithi warangi wanaishi humo tangu enzi.
Na hii ndio sababu nimesema Dodoma ni modern city kuliko yeyote Tanzania. Majengo yote ni mapya na modern kwasababu maeneo yale ya wazi ndio yanajengwa, sehemu chache sana unaweza kuona slums kwa bahati mbaya.Sehemu pekee tanzania nikifika najihisi kuburudika nafsi ni DODOMA. Dodoma ukipanda Treni ya SGR ndio mkoa pekee sgr inapopita ukiwa unaingia Dodoma unapata view nzuri. Ukiwa unaingia Dar na SGR Yale majengo ya Kipawa na Vingunguti unaweza kusema uko Mitaa ya Islamabad.
Dodoma nadhani ndio sehemu nitaweka uzee wangu
Balozi kuhamia Dodoma ni suala sio immediate linahitaji kwanza availability ya international standards kwa Dodoma kitu ambacho bado hakijafikiwa kwa Dodoma, ikiwemo International Airport and Five star hotels. Ni jambo la muda.....mkuu safi sana ila hizi ulizoandika ni wishful thinking lakini kwenye uhalisia haya yatakamilika baada ya miaka mingi sanaaa...nikupe tu mfano mmoja toka balozi za nchi zote zipewe plots kujenga balozi zao dom na kuhama dsm hakuna hata balozi tatu zimejenga dom..hakuna!..dom ingekuwa kama unavyosema watumishi wangehamia moja kwa moja ila nafikiri unaona jinsi watumishi inapofika ijumaa wanavyotokomea kwenda dsm hata baada ya miaka mingi kupita.!
Wekea mate mbona panalainika tuDodoma Kwenye Miundo mbinu Wamejitahidi,Ila Changamoto ya Dodoma Ni kukavu Balaa
Nakuelewa hoja yako.Hapana, huu ni zaidi.
Naona hujaelewa hoja.
Sehemu nyingi duniani kuna majina ya kuiga.
Marekani kuna Paris, kuna London, kuna Berlin, kuna Rome, kuna Athens, kuna Dublin, kuna Vienna, kuna mpaka Cairo.
Yote majina ya kuiga hayo.
Hapo sioni tatizo kwa sababu hayo ni majina ya miji tu.
Tatizo linakuja unapoita jina lenye maana mahususi, Oyster Bay, maana yake ni Ghuba ya Chaza. Sehemu yenye ghuba panapopatikana chaza, baharini.
Sasa unachukua jina la "Ghuba ya Chaza" unalipeleka Dodoma, sehemu ambayo haina ghuba wala chaza.
Huo ndio ushamba, si kuiga jina la sehemu.
Bhagosha unaishi Mwanza sehemu gani?Kamalizie uzee Mwanza utakuja kunishukuru! Sato unaweza kuagiza akaja kufia kwenye chungu. Ni wewe tu!
Population sio kigezo cha ubora wa mji unaweza kuwa na population kubwa lakini mipangomiji+huduma za kijamii mbovu mfano jiji la Windhoek Namibia lina population ya watu lakisita tu lakini limeizidi mbali sana Dar Es Salaam yenye wakazi zaidi ya milioni 5. Kwa kukusaidia tu mji wa Dodoma umeanza kupangiliwa tangu enzi za Nyerere/CDA hiki unachokiona kwa sasa ni mwendelezo wa master plan iliyoanza kuratibiwa tangu miaka ya 1970 sasa imagine miaka 10 ijayo itakuaje Dom,Kiukweli miji mingine inabidi ikajifunze DomNa huo wingi wa watu ndio turufu ya kupanua mji! Mipango miji ya Mwanza ukiiangalia kwa kupitia milimani utaona haijapangwa lakini sasa hivi kwenye tambarare za Mwanza mji unapangwa unapangika. Tembelea Malimbe, Nyegezi, njia ya airport ukiwa unaelekea Kayenze, angalia kote huko Buswelu, Nyamhongolo, Kisesa n.k. huwezi kukuta slums tena! Lami kote huko zinamea! SGR pale mjini iko inaendelea. Ngoja tusubiri hiyo 10 years kama Dodoma atatoboa!
Oyster Bay maana yake ni "Ghuba ya Chaza".Hata Arusha kuna Oysterbay
Tatizo huyu Ngosha anaiona Dodoma ilivyo sasa, haioni Dodoma ya miaka 5 -10 mbele. Atashangaa!Kitu pekee ambacho labda Dodoma haitaipiku Mwanza ni population tu manake Wasukuma wanazaliana sana+hawanaga uzazi wa mpango😅😅 lakini vigezo vingine vyote mfano ubora wa mipangomiji, ubora wa miundombinu,ubora wa huduma za kijamii ,vyuo vikuu,maghorofa+majengo ya serikali ,mtandao mpana wa lami,uwepo wa taasisi nyingi za serikali,balozi ,mashirika ya kimataifa,makao makuu ya chama+serikali n.k MWANZA ndio ikajifunze Dodoma huo ndio ukweli mchungu
Bhagosha unaishi Mwanza sehemu gani?
Masaki sioni tatizo.Na Wakurugenzi nao wanakuwa kama hawakusoma! Wanaruhusuje majina yasiyoendana na mahali penyewe? Nilishangaa kusikia eti Kahama nako kuna Masaki na Oysetrbay! Hii kwa Wasukuma unaweza kuthibitisha kabisa ni ushamba wetu! Mawaziri wanaipita humu hebu wasikie huu ujumbe walifanyie kazi. Ni upumbavu!
State Capital City utaifananishaje na Mwanza kwa baadae mzee?Na huo wingi wa watu ndio turufu ya kupanua mji! Mipango miji ya Mwanza ukiiangalia kwa kupitia milimani utaona haijapangwa lakini sasa hivi kwenye tambarare za Mwanza mji unapangwa unapangika. Tembelea Malimbe, Nyegezi, njia ya airport ukiwa unaelekea Kayenze, angalia kote huko Buswelu, Nyamhongolo, Kisesa n.k. huwezi kukuta slums tena! Lami kote huko zinamea! SGR pale mjini iko inaendelea. Ngoja tusubiri hiyo 10 years kama Dodoma atatoboa!
Sawa,Nakuelewa hoja yako.
Pengine waliiga jina kutokana na Serene and tranquil neighbourhood not necessarily reflecting etymology ya Neno "Oyster Bay"
Mtoa mada nakuunga mkono asilimia 700....Hii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni.
Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia.
Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu vizuri hasa Makazi.
Kama umefika Dodoma hivi karibuni au hata kuangalia insta, Tiktok utaona real estate ya Dodoma inakuja kwa kasi mno hata Dar ikasome kuanzia Apartments, hotels, AirbnB etc
Hizi ni baadhi ya sehemu ambazo ukitembelea utakubaliana na mimi.
1. Itega - ianshika namba moja kwa Dodoma, wanaishi wazito huu mtaa uliopo chini ya mlima kama unaenda gereza la isanga. Sharti la kujenga ni kuanzia ghorofa moja, kiwanja kuuzwa 1 billion sio jambo la kushangazwa kutokana na value ya eneo na kumepangwa kweli kweli hiyo Mijengo Mbweni JKT akasome.
2. Njedengwa- naipa namba mbili, huu mtaa upo chini ya mlima kama unaenda iyumbu kule Udom. Kuna makazi ya watu, taasisi za umma na binafsi kama Tume ya Uchaguzi HQ. Huku kuna balaa watu wamejenga hadi unasema pesa wamepata wapi. Kwa kuongezea kuna Hotel Mbili za Nyota tano zinajengwa, ile ya Bunge la Afrika kushirikiana na Bunge Tz pamoja na ile ya NSSSF ili kuendana na kasi ya Jiji lakini kuhost diplomats, UN guests and high profile foreigners watakao kuwa dodoma msalato international airport ikikamilika.
3. Mkalama/ Makulu Oyster bay
Huu mtaa una washua balaa, kina Biteko etc wameshusha vitu na apartments zile za modern luxury zinajengwa na zingine zipo tayari.
4. Ilazo - kumenyooka huku hamna slums ni vitu fulani hivi vya kishua na barabara kiwango cha lami kwenye mitaa yake.
5. Medeli - Huku ndio kuna shopping malls, restaurants, ofisi za umma na bifnafsi na hotels za kisasa, in short panakuwa kwa kasi sana. Kiwanja kuuzwa 2 billion sio maajabu huu mtaa.
6. Kisasa- huku ni kama Sinza ya Dar, kumechangamka sana yaani ni mtaa unajitosheleza karibia kila kitu, tofauti na sinza huku hamna slums, kumepangwa vizuri barabara za mtaa almost zote zina lami.
7. Mlimwa C - huku ndio kule kwa Waziri Mkuu, chini ya mlima watu wanashusha mansion kama uyoga ndipo kuna royal village.
8. Mtumba City - kwasasa kuna modern state of art ministerial offices, ila kwa baadae patakuwa kufuru kutokana na modern hotels, restaurants and apartments ambazo zipo underway.
Sehemu zingine kuna Iyumbu, Ntyuka, Tambuka reli street etc
Dodoma Uncle magu angekuwepo sijui tungekuwa tunaongea nini.
Kwasasa ndio Jiji la tatu linalokuja kwa kasi baada ya Dar na Mwanza, hivyo Mwanza kaa tayari kushika namba tatu by 2030
Tanzanite Bridge Posta.Oyster Bay maana yake ni "Ghuba ya Chaza".
Ni sehemu ya bahari yenye ghuba yenye chaza.
Sasa Arusha kuna ghuba ya chaza?
Kumbuka Dar na Mwanza ni Majiji ya Kibiashara. Capital city inakuwa na majengo mengi ya taasisi. Mara nyingi Majiji ya kibiashara ndiyo yanakuwa maarufu zaidi ya Capital city! Hiki ndicho kinanipa uhakika Dodoma haitakaa iipiku Mwanza au Dar. Maana kama magorofa makubwa hata Mwanza yapo yanajengwa, vyuo vikuu vinajengwa kama uyoga. Hotel ya Nyota ipo ya nssf inajengwa pale karibu na chuo cha BOTState Capital City utaifananishaje na Mwanza kwa baadae mzee?
Miradi na privileges nyingi zinakuwa channelled Dodoma.
Neno kuwa tusi ni suala la Context tu.Sawa,
Sasa unapoiga jina unatakiwa kujua maana ya jina, si unaigaiga tu. Utaiga matusi.
Serene and tranquility does not need to be Oysterbay. Kwani hakuna majina ya lugha ya kiasili yanayomaanisha hivyo?
Look Johannesburg vs Pretoria and Capetown, look Lagos vs Abuja , look New York vs Washington DC, look Shanghai and Guangzhou vs Beijing. Kuna miji inakua kibiashara na mingine political and admistrative. Look kahama vs shinyanga. Dodoma inakuwa admistrative but not commercially like dar es salaam.Dodoma itakuwa second largest city by 2030, huko mbeleni watakuwa wanafukuzana na Dar.