Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
KumekuchaWabunge wawili wa Chadema, David Silende (Momba) na Peter Lijualikali (Kilombero) wamehudhuria bungeni leo licha ya chama chao kuwataka wabunge wake kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona
Wakianguka sisi tunachimbia na tingatinga ili kujilinda full stop.Mbunge anawakilisha wananchi siyo Chama.
Hongereni wabunge kwa kuielewa katiba ya Jamhuri ya MT.
Aliokolewa na chadema pamoja na uwezo wa Tundu LissuHuyu lijuakali si ndiye aliswekwa magereza na jiwe?
Kweli amenyooshwa
Mbona wewe hujaanguka bwashee?!Wakianguka sisi tunachimbia na tingatinga ili kujilinda full stop.
Mimi nimeji isolateMbona wewe hujaanguka bwashee?!
CHADEMA wakamnusuruHuyu lijuakali si ndiye aliswekwa magereza na jiwe?
Kweli amenyooshwa
Wewe jamaa nimecheka balaa🤣🤣🙌Wakianguka sisi tunachimbia na tingatinga ili kujilinda full stop.
Kuna tetesi tutakuwa nae NCCR Mageuzi hivi karibuni.Aliokolewa na chadema pamoja na uwezo wa Tundu Lissu