Chadema ndio inazidi kuimarika.Mti wenye matunda ndio unapigwa maweChadema ilishakufa zaman
Chadema ndio inazidi kuimarika.Mti wenye matunda ndio unapigwa maweChadema ilishakufa zaman
Huwezi kujua maana inategemea na uwezoSijui hata umeandika vitu gani
Haya Silinde huyo anakuja kukusukumizia mbali pale ulipokuwa unaandaliwa kugombea. 'Vitu' maalum ujue hakuna tena kurudia, utanyooka tuu.
Kama ni hivyo basi hamuwezi kupewa nchi muongoze itakuwa hatari kwa Taifa la Tanzania...kweli.
..lakini haiwezekani kuwepo na hoja halafu iungwe mkono 100%.
..vijana mkienda na attitude kwamba msimamo wa chama ni lazima uungwe mkono 100% mtakuja kuleta shida nchini.
Kama ni hivyo basi hamuwezi kupewa nchi muongoze itakuwa hatari kwa Taifa la Tanzania.