Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

Huu ndio ujinga na kutokujua raisi ni mkuu wa nchi anafanya shughuli yake popote kikatiba wala hakuna zuio la kikatiba linalomzuia mh raisi na amiri jeshi mkuu, tatizo mnajaribu kumfananisha DJ na mamlaka ya uraisi ni vitu viwili tofauti DJ ndio afanye shughuli zake mtaa wa ufipa au jimboni kwake tu ndio sehemu alizonazo mamlaka chadema huwa hamjielewi kabisa

Peleka upuuzi mbali, hiyo ikulu ni ya nini wakati anaweza kufanya kazi popote?
 
Ikulu sio hapo magogoni tu umekaririshwa pumba kila wilaya Ina ikulu na hakuna kifungu kinachokataza raisi kukaa nyumbani kwake Chato na Kwavile hakuna kifungu kinachomzuia/Wala hajavunja sheria huoni utakuwa mjinga kulalamika kwa kitu ambacho hakipo?
 
Ha ha ha haaaa, ndiyo uwe na uhakika wapinzani ni wapuuzi wasio na nguvu wala umoja, wanagombana wenyewe kwa wenyewe kabla hata ya kuwa na madaraka nchini, fikiria wakipata madaraka itakuwaje.

CCM inabidi itulie tu wala isiwabane, maana kuwabana ni kuwapa chanzo cha kuiponda na kupata nguvu kutoka kwa wanaopenda haki.
 
Ikulu sio hapo magogoni tu umekaririshwa pumba kila wilaya Ina ikulu na hakuna kifungu kinachokataza raisi kukaa nyumbani kwake chato na Kwavile hakuna kifungu kinachomzuia/Wala hajavunja sheria huoni utakuwa mjinga kulalamika kwa kitu ambacho hakipo?
Yes Mchopa, why now during the Corona and not before perhaps never after?
 
Ukifa tunakuzika kama yule waziri unasahaulika, kesho asubuhi mapema anateuliwa mwingine.
Thamani yako ni ukiwa hai tena mzima wa afya.

Jali afya yako kwanza mkuu.

Jinsi ccm ilivyomdhihaki Dr. Mahiga liwe fundisho kwa nyie wengine mliobaki kuwa JIWE na chama chake wanakuthamini pale tu wanapoweza kukutumia na sio vinginevyo!! Dr. Mahiga anakufa leo kesho yake unamteua mtu wa kumbadili bila hata kupepesa macho; nyie binadamu gani msiokuwa na empathy? You do not deserve to lead this great country. You are doing so by default!
 
Yes Mchopa, why now during the Corona and not before perhaps never after?
Iwe Sasa na sio kabla hakuna shida rejea comment yangu uliyo ni qoute jiulize je amevunja katiba/sheria? Ikiwa hapana jiulize Tena katiba imembana? Ikiwa hapana basi ni ujinga kukosoa/kupinga wakati hajavunja katiba/Sheria!
 
Huwezi kukana amekimbia Korona na kuwalazimisha wananchi wajitie hatarini kuendelea na kazi wakati yeye amejificha. Yoyote anajua hilo lasivyo ana upungufu kichwani.
 
Hivyo ni vijisababu vya hovyo hovyo DJ makengeza anavyo walisha misukule yake hii ni Vita tunapigana dhidi ya hili gonjwa Corona kwahiyo jeshi liko front line linafanya kazi (wateule wa raisi mawaziri husika wataalam wa afya nk) Sasa sijui ulitaka ashinde wapi mloganzila au mwananyama?
 
Haya tutaona kama atahamia Chato kabisa au atarudi baada ya korona kuendesha nchi ipasavyo na kuongea na serikali yake sura kwa sura kama viongozi wengine wa nchi nyingine wasio wasaliti wananchi wao. Mind you no one knows when Corona will be defeated.
 
Ikulu sio hapo magogoni tu umekaririshwa pumba kila wilaya Ina ikulu na hakuna kifungu kinachokataza raisi kukaa nyumbani kwake chato na Kwavile hakuna kifungu kinachomzuia/Wala hajavunja sheria huoni utakuwa mjinga kulalamika kwa kitu ambacho hakipo?

Kwani kuna kifungu chochote kinazuia chama chochote cha siasa kufanya siasa nchi nzima?
 
Vijana wa ufipa Kama kweli wanapenda chama Chao bas kwa muda huu wangeicha kwanza CCM ili waajiulize hatma ya chama Chao Sio kua kila siku Wana mkingia kifua Mugabe wajaribu ku force Mambo yaende sawa wakizubaa chama Chao kikaendea kua iv bas mwaka ujae huenda wakakikosa chama Chao na kuamua kua team tanasha au team kiba wamchambe diamond Mana ukiesabu wabunge wa chadema wanavyo toka kwenye chama Chao kwa wingi unabak unajiuliza wamebaki wangap?

Alafu sion dalili za ukawa apa so sidhan Kama kutakua na nguvu ya ushawish upinzan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi ccm ilivyomdhihaki Dr. Mahiga liwe fundisho kwa nyie wengine mliobaki kuwa JIWE na chama chake wanakuthamini pale tu wanapoweza kukutumia na sio vinginevyo!! Dr. Mahiga anakufa leo kesho yake unamteua mtu wa kumbadili bila hata kupepesa macho; nyie binadamu gani msiokuwa na empathy? You do not deserve to lead this great country. You are doing so by default!
Waambie hao wanaosema hawawezi kuacha kwenda bungeni wakidai wananchi kwanza,
 
Haya tutaona kama atahamia Chato kabisa au atarudi baada ya korona kuendesha nchi ipasavyo na kuongea na serikali yake sura kwa sura kama viongozi wengine wa nchi nyingine wasio wasaliti wananchi wao. Mind you no one knows when Corona will be defeated.

Corona itakwisha siku ghadhabu ya MUNGU kwa binadamu itakapokwisha; so it will be a long time before he comes out of CHATTO!!!
 
Baada ya Wabunge wa Upinzani hasa CHADEMA kugomea kuingia Bungeni ili kupitisha bajeti ya wananchi waliowachagua hali imekua tofauti kwa wabunge hao wanaonekana wameiva Kifikra na waliojawa huruma kwa wananchi wao waliowachagua mwaka 2015.
Tusiwapotezee muda wananchi.Selasini alitoka Chadema kwa sababu alinyimwa nafasi ya uongozi
 
Back
Top Bottom