Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

Hivi Chadema imeamua kukwama wapi?

Kwamba kunapotokea kikao kero huwa hazishughurikiwi?

Dukuduku nazo je!!

Kiukweli kabisa Uongozi wa juu kabisa wa Chadema nao waanze kujihoji kama wanaweza kuendelea kuwa viongozi!! Haiwezekani kila kunapotokea makubaliano Fulani lazima kuwepo usaliti, au ndo wanatudhihirishia kwamba kuna udicteta
 
Namkumbuka sana mshkaji wangu Silinde kipindi cha mgomo wa 2008 pale Utawala
So nice guy killing his career untimely. ...
So sad..
 
Hivi Kuna mbunge wa CCM anaweza kwenda Kinyume na maagizo ya Chama, hizi dakika za mwisho inabidi wacheze game kwa stepu sana.
Ngumu sana, huu ujinga uliofanywa Na lijualikali Na silinde Ni ngumu kuuona ccm, unafyekwa Mara moja.
 
Mbunge wa Rombo kupitia Chadema amewashukia wabunge wa chama chake kwa kutoroka bungeni bila kufuata utaratibu wa kikanuni.

Selasini amesisitiza kuwa yeye anajitambua na hawezi kuwa sehemu ya wasiojielewa na kukubali kuburuxwa.

Amezidi kudai kuwa hadi sasa hakuna mbunge yoyote aliyekufa na Corona kwa sababu serikali haijatoa taarifa za marehemu zaidi ya waxushi wa kwenye mitandao ya kijamii.

Selasini ameunga mkono bajeti ya ujenzi kwa 100%

Source TBC 2
 
Asipoongea stress zitamuua halafu waungwana waradhani ni Corona, muache aongee ili kupunguza trend ya vifo kipindi hiki.
 
Wanasiasa wetu kwa jinsi walivyo unaweza kumuuliza "mbona zamani mlikuwa mnatoka wote", kama sio sheria za nchi angetoa bonge ya tusi ila jibu litakalotolewa ni "UMETUMWA WEWE"
 
Back
Top Bottom