Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

Kila MTU na jinsi ulivyojiandaa ukaa Siku 14 uingizi unatumia tu na akiba una bora ujitoe muanga ili mdomo uende kinywani na wanao kutegemea maana mwingine ili ale lazima atoke kila siku
 
Kila MTU na jinsi ulivyojiandaa ukaa Siku 14 uingizi unatumia tu na akiba una bora ujitoe muanga ili mdomo uende kinywani na wanao kutegemea maana mwingine ili ale lazima atoke kila siku
Haahaa, kwa wabunge Ni tamaa tu...mwisho Wa mwezi wanalipwa mishahara, posho kibao.tamaa tu
 
Hawa ni Wabunge wanaojielewa ,wanajua wamekuja kufanya nini Bungeni.WANANCHI KWANZA
Kweli kabisa ni vizuri ukajenga imani kubwa kwa wananchi kwa kuwatumikia wakikuelewa wanakupa ubunge hata ukigombea kupitia CHAUMA,
 
Dah yani nikikumbuka Lijuakali na sakata lake lote lile,Lijuakali na kumpambania Dogo-Janja wa Arumeru,halafu ghafla picha inageuka,siasa bhana kama vile kivuli cha gizani.
 
Chadema inapitia wakati mgumu sana kama ilivyopitia CUF ya maalim seif., hawa wabunge 2 ni wazi kwamba aidha wamefanya tamaa ama wameshaingia kwenye maridhiano na ccm.

Lakini hili ni jambo zuri sana kwa Chadema ni bora mubaki wachache mulio safi lakini ni vizuri zaid kuweza kuchuja mlichonacho je kiko safi?

Nadhan hapa sasa Chadema watakuwa wamepata mwanga kujua ni mbunge gani ambaye hujidai ni chadema mchana lakini usiku ni ccm.

Nampongeza Mbowe sana ata wale wabunge wa maalim seif mwezi wa ramadhan iliyopita walialikwa futari na spika upinzani wakakubaliana wasiende kwenye futari lakini wako wabunge 2 wa cuf walienda kwenye futari matokeo yake wale wale walijiunga na ccm miezi 2 iliyopita.

Nampongeza sana Mbowe anajua sana siasa lakini anajua mbinu za kumshika mnafiki na msaliti.
 
Kwa hali ya kisiasa sasa hivi nchini, mwanasiasa asiyejua kuwa kuwa ndani ya CCM sio salama kuliko nje ya CCM basi ana akili mgando.

Hivi hawaoni kuwa hata jiwe amekata tamaa kabisa? Hana imani na Ku survive shinikizo LA ndani lakini hata LA nje pia hayuko salama maana dunia ilishachoka watu madikteta.

Wapo wale tuu ambayo wamejizatiti na wana uwezo wa kijeshi kiasi kuwa kumuondoa inaweza kusababisha maisha ya wengi kupotea mfano DPRK na Iran
 
Wakianguka sisi tunachimbia na tingatinga ili kujilinda full stop.
Limepuma!! Yaani kila mnachopanga hakifanikiwi mmelaani na Mwenyezi Mungu nyinyi. Bia yetu alipoleta thread ya kuwa Wabunge wa Chadema hawajakubaliana na kunafukuta kuhusu karantini yao mlibeza haya sasa!!
 
..waliosema Mbowe ni dikteta wameumbuka.

..waliosema Mbowe anawaburuza wabunge wamekosa hoja.

..waliosema ndani ya CDM hakuna demokrasia na uhuru wa mawazo watajificha wapi?
Acha kubadiri gia angani mlisema hakuna mtafaruku wa wabunge wa saccos ya Chadema. Haya sasa wamewakatalia sasa kukaa karantini.
 
Back
Top Bottom