Chadema ilishakufa zamanChadema ndio inakufa hiyo bwashee!
wabunge "njaa kali" hao kina Silinde.Baada ya Wabunge wa Upinzani hasa CHADEMA kugomea kuingia Bungeni ili kupitisha bajeti ya wananchi waliowachagua hali imekua tofauti kwa wabunge hao wanaonekana wameiva Kifikra na waliojawa huruma kwa wananchi wao waliowachagua mwaka 2015.
Ukiambiwa Chadema ni nyumbu ndio kama hiviHalafu utasikia wanachadema wanamuita Zitto msaliti, hivi hamjui wasaliti wa kweli. miongoni mwenu ni akina nani?
Inakufaje Mkuu?Chadema ndio inakufa hiyo bwashee!
Kitu kikubwa ile posho ya 300,000/= inawachanganya sana wabunge, kitendo cha wabunge Wa chadema kujiweka karantini kwa muda Wa Siku 14 watakosa posho ya 3,420,000/=.hilo ndo tatizoChadema kuna mgawanyiko wa ndani
Sio wa chadema hao?Wabunge wa NCCR Mageuzi
Huruma Ni posho ya 300,000/= sio kingine.Baada ya Wabunge wa Upinzani hasa CHADEMA kugomea kuingia Bungeni ili kupitisha bajeti ya wananchi waliowachagua hali imekua tofauti kwa wabunge hao wanaonekana wameiva Kifikra na waliojawa huruma kwa wananchi wao waliowachagua mwaka 2015.
Hao wamehaidiwa vyeo upande Wa pili.wabunge "njaa kali" hao kina Silinde.
baada ya October, ubunge watakuwa wanautizama kwenye luninga tu!