Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wewe hutakiwi kupata stress au unampaga pesa yako marejesho?Kutiana hasira na stress zisizo na sababu labda ndio hio faida kwa wanaoingia head to head
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hutakiwi kupata stress au unampaga pesa yako marejesho?Kutiana hasira na stress zisizo na sababu labda ndio hio faida kwa wanaoingia head to head
Sawa mkuu Mimi namwacha atapambana mwenyewe kwenye Vicoba vyake atajijua mwenyewe.. mtu anakatazwa hatakiHakikisha tu anatekeleza majukumu yake. Kama anaenda kikawaida haijaathiri mambo mengine mwache afanye
Hujampa sababu ya kuacha. Hata hapa hujatuambia ni kwanini unataka aacheSawa mkuu Mimi namwacha atapambana mwenyewe kwenye Vicoba vyake atajijua mwenyewe.. mtu anakatazwa hataki
Dada yangu unawaza nguo na mafuta mazuri ukiwa umeshiba na una amani shukuru sana kama mmeo anakupa chakula na unapata mawazo ya mafuta na nguo upo sehemu sahihi sanaa unapewa chakula unawaza mpaka mafuta na kuvaa maana kuvaa unakotaka wewe siyo kwa kuustili mwili unataka uvae kwa mbwebweMwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju.
Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?
Pesa inatoka kwaaangu Mimi anasema anawekezwa kwenye Vicoba ila Vicoba haviiiishi ni kila sikuWewe hutakiwi kupata stress au unampaga pesa yako marejesho?
Sasa wewe ndo tatizo. Na kule kaandika jina lake utajua hujuiPesa inatoka kwaaangu Mimi anasema anawekezwa kwenye Vicoba ila Vicoba haviiiishi ni kila siku
Nmesema Vicoba vinasababisha vifoooHujampa sababu ya kuacha. Hata hapa hujatuambia ni kwanini unataka aache
😂😂😂Sasa wewe ndo tatizo. Na kule kaandika jina lake utajua hujui
Sa mbona wewe hujaua?Nmesema Vicoba vinasababisha vifooo
Naanzaje hio ni dhaaambi mkuuSa mbona wewe hujaua?
.
Ndo kusema kwamba hii michezo yetu sisi wanawake tuachie wenyewe...ni pesa zetu extra tunazitafuta.😂😂😂
Ndio kusema kwamba?
Umenena, huyu bwana alikuwa na taarifa zake za kiiinteligensia!! Wivu Wivu wivuMpaka kufikia kuua sio bahati mbaya,kuna sababu nyingi tu nyuma
For the sake of peace ukishashindwana na mtu ni bora kumwacha aende,
Kuua kiumbe cha Mungu kwasababu ya mapenzi ni hukumu kubwa sana
Basi ujue kuwa kuuana kupo tu, vicoba vwepo ama visiwepoNaanzaje hio ni dhaaambi mkuu
Kumsapoti ni upendo ukipenda unajisadaka wewe mwenyewe kwa yule unaempenda ila Vicoba vimeziiiidiNdo kusema kwamba hii michezo yetu sisi wanawake tuachie wenyewe...ni pesa zetu extra tunazitafuta.
Ila kama mkeo ana akili unaweza ona faida.
Inashangaza kuona unapinga asiende vicoba na hapa hapo unamsapoti pesa ya marejesho. Tukueleweje?
Upendo gani na inaonyesha kabisa una wasiwasi vicoba sio vizuri. Yaani unasapoti kumuangamiza?Kumsapoti ni upendo ukipenda unajisadaka wewe mwenyewe kwa yule unaempenda ila Vicoba vimeziiiidi
Aaah wapi Vicoba vifungiwe tuBasi ujue kuwa kuuana kupo tu, vicoba vwepo ama visiwepo
Ndio nmekwambia saaasa nmetia komeo sitoi pesa ya kikoba tangu juzi kanuna anasema wanampiga faini sijui nini uko wanajua wenyewe nmemwambia Vicoba baaasi acha Vicoba yeye analazimisha lazima Kikoba sasa Kikoba kina nini?Upendo gani na inaonyesha kabisa una wasiwasi vicoba sio vizuri. Yaani unasapoti kumuangamiza?
Ungekataa kumpa ukamueleza madhara yake ndo ingekuwa upendo.
Sijaolewa mimiDada yangu unawaza nguo na mafuta mazuri ukiwa umeshiba na una amani shukuru sana kama mmeo anakupa chakula na unapata mawazo ya mafuta na nguo upo sehemu sahihi sanaa unapewa chakula unawaza mpaka mafuta na kuvaa maana kuvaa unakotaka wewe siyo kwa kuustili mwili unataka uvae kwa mbwebwe