Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Dodoma: Peter Mwakiposile amuua mkewe kisa Kikoba

Hakikisha tu anatekeleza majukumu yake. Kama anaenda kikawaida haijaathiri mambo mengine mwache afanye
Sawa mkuu Mimi namwacha atapambana mwenyewe kwenye Vicoba vyake atajijua mwenyewe.. mtu anakatazwa hataki
 
Sawa mkuu Mimi namwacha atapambana mwenyewe kwenye Vicoba vyake atajijua mwenyewe.. mtu anakatazwa hataki
Hujampa sababu ya kuacha. Hata hapa hujatuambia ni kwanini unataka aache
 
Mwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju.

Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?
Dada yangu unawaza nguo na mafuta mazuri ukiwa umeshiba na una amani shukuru sana kama mmeo anakupa chakula na unapata mawazo ya mafuta na nguo upo sehemu sahihi sanaa unapewa chakula unawaza mpaka mafuta na kuvaa maana kuvaa unakotaka wewe siyo kwa kuustili mwili unataka uvae kwa mbwebwe
 
Wewe hutakiwi kupata stress au unampaga pesa yako marejesho?
Pesa inatoka kwaaangu Mimi anasema anawekezwa kwenye Vicoba ila Vicoba haviiiishi ni kila siku
 
UKWELI NI KWAMBA WENGI WANATEMBEA NJE HUKO KWA KISINGIZIO CHA VIKOBA.
KWANI NDIO SBB KUU PEKEE YA KUAGA NYUMBI NA KUHALALISHA KUCHELEWA KWAO.
KWAMBA KAMA MKEO YUKO KWENYE HIZO MAMBO BASIII.... NDIO HIVYO HIVYO KUKABALI KATAA.
 
😂😂😂

Ndio kusema kwamba?
Ndo kusema kwamba hii michezo yetu sisi wanawake tuachie wenyewe...ni pesa zetu extra tunazitafuta.
Ila kama mkeo ana akili unaweza ona faida.
Inashangaza kuona unapinga asiende vicoba na hapa hapo unamsapoti pesa ya marejesho. Tukueleweje?
 
Mpaka kufikia kuua sio bahati mbaya,kuna sababu nyingi tu nyuma

For the sake of peace ukishashindwana na mtu ni bora kumwacha aende,

Kuua kiumbe cha Mungu kwasababu ya mapenzi ni hukumu kubwa sana
Umenena, huyu bwana alikuwa na taarifa zake za kiiinteligensia!! Wivu Wivu wivu
 
Ndo kusema kwamba hii michezo yetu sisi wanawake tuachie wenyewe...ni pesa zetu extra tunazitafuta.
Ila kama mkeo ana akili unaweza ona faida.
Inashangaza kuona unapinga asiende vicoba na hapa hapo unamsapoti pesa ya marejesho. Tukueleweje?
Kumsapoti ni upendo ukipenda unajisadaka wewe mwenyewe kwa yule unaempenda ila Vicoba vimeziiiidi
 
Kumsapoti ni upendo ukipenda unajisadaka wewe mwenyewe kwa yule unaempenda ila Vicoba vimeziiiidi
Upendo gani na inaonyesha kabisa una wasiwasi vicoba sio vizuri. Yaani unasapoti kumuangamiza?
Ungekataa kumpa ukamueleza madhara yake ndo ingekuwa upendo.
 
Basi ujue kuwa kuuana kupo tu, vicoba vwepo ama visiwepo
Aaah wapi Vicoba vifungiwe tu
Upendo gani na inaonyesha kabisa una wasiwasi vicoba sio vizuri. Yaani unasapoti kumuangamiza?
Ungekataa kumpa ukamueleza madhara yake ndo ingekuwa upendo.
Ndio nmekwambia saaasa nmetia komeo sitoi pesa ya kikoba tangu juzi kanuna anasema wanampiga faini sijui nini uko wanajua wenyewe nmemwambia Vicoba baaasi acha Vicoba yeye analazimisha lazima Kikoba sasa Kikoba kina nini?
 
Dada yangu unawaza nguo na mafuta mazuri ukiwa umeshiba na una amani shukuru sana kama mmeo anakupa chakula na unapata mawazo ya mafuta na nguo upo sehemu sahihi sanaa unapewa chakula unawaza mpaka mafuta na kuvaa maana kuvaa unakotaka wewe siyo kwa kuustili mwili unataka uvae kwa mbwebwe
Sijaolewa mimi
 
Back
Top Bottom