Aisee, kauzi kamewageukia. π Very insecure people mada wameileta wenyewe kwenye jukwaa hili alafu wakipewa dozi wanaanza kulia lia kwamba wamevamiwa. [emoji1] Safi sana @Kevin85fy, wape wape vidonge vyao.
Umejuaje km inaumiza wkt ww una mental retardation, chizi yyte duniani doesn't feel any pain hata umtukane vp.Kuna mkenya kajisemea "Tanzania has a generally intellectually handicapped population" .Hata kama inaumiza nakubaliana nae 100%.
Majority ya watanzania wana profound mental retardation.
Hakuna mkenya anaetamba mbele ya mtz timamu, fuatilia nyuzi zote humu zinazohusu haya mambo huwa hawatambi kabisa, zaidi ya hapo Jf imewasaidia sana Wakenya kuwabadili mindset zao over Tanzanians, walidhani kujua broken English ndo wanajua kila kitu but nowadays kuna kitu wamejifunza toka kwa WaTz.Binafsi nimecheka sana nimeamini wakenya 10 wakiungana pamoja wanawanyamazisha WTZ 100[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana kajamaa Ni kamoja tu lakini kanatema checheeee.
Mleta Uzi kapaniki tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mkenya anaetamba mbele ya mtz timamu, fuatilia nyuzi zote humu zinazohusu haya mambo huwa hawatambi kabisa, zaidi ya hapo Jf imewasaidia sana Wakenya kuwabadili mindset zao over Tanzanians, walidhani kujua broken English ndo wanajua kila kitu but nowadays kuna kitu wamejifunza toka kwa WaTz.
Dude now you are just looking to have those local ignorance filled chats you are used to in your villages. Come back and talk like a man when you have something of value to add.You are so dumb dogo, Let me teach you, we have Ph.Ds and Professors in Nursing and midwifery practice, Sasa tukisema eti sababu we don't have COs in our referral Hospital basi is the same as not having a Nurses is pathetic. A medical doctor is not above the Nurse or vice versa, their roles are quite different and you can't mix the two. inaonekana Nzige wameleta njaa imewavuruga vichwa, vimejaa kamasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Did you read the report?Mkuu unapoteza muda kujibizana na mazezeta,
Jitu linalojidharau ni aibu kwa Jamii na ukoo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude now you are just looking to have those local ignorance filled chats you are used to in your villages. Come back and talk like a man when you have something of value to add.
You doubted that kenya beats egypt in health care and i gave you the report and graphical presentation of the report.
In other words you are a failure generally in life and your frustrations are displayed here for everyone to see.
[emoji1][emoji1][emoji1] Noma sana, ni burudani tosha. Wakifunika jamaa anafunua, wakienda kusini yupo, kaskazini aliwasili zamani. Wanasema ni kama video ni kama drama.Binafsi nimecheka sana nimeamini wakenya 10 wakiungana pamoja wanawanyamazisha WTZ 100[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana kajamaa Ni kamoja tu lakini kanatema checheeee.
Mleta Uzi kapaniki tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikwete angekuwa mbinafsi kama yule,angeijenga kwao msoga π
Naona adabu ss imewakaa mpk mnatoa kauli za kujifariji huwa nafurahi sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1] Noma sana, ni burudani tosha. Wakifunika jamaa anafunua, wakienda kusini yupo, kaskazini aliwasili zamani. Wanasema ni kama video ni kama drama.
Mbn umepanic [emoji205] Kevin85ify ucwe hvyo bhn mmeyataka wenyewe kupambana na nchi kubwa nchi tajiri kuliko nyie so pull up ur Sox Tz is back on its original position[emoji3][emoji3][emoji3]Given I have tight deadlines to meet today. I will summarize my points for all Tanzanians.
i) You will always and forever play second fiddle to Kenya ie We will always rule east africa
ii) You are not ready intellectually or economically to swim with sharks, play in your league (Zambia, Mozambique,Burundi and Uganda)
Hamuwezi kupambana na Tz chini ya jiwe kamwe hamuwezi nawaambia kilichobaki ni kufurahia mwisho mwisho data za Google ambazo bado hazijawa updated but after two years mtalia sn ila baadaye mtazoea mana ata cc tulishangaa mlipotuacha baadhi ya maeneo, hasa baada ya kutoka Nyerere madarakani lkn tulizoea, so na nyie mtazoea tu, na nkwambie hamtoikalibia Tz kwa chochote labda kwny mchezo wa kitumwa wa kukimbia ambao hata hivyo hatupo serious nao lkn kwny hz sekta nyingine za kiuchumi msahau nawaambia.Given I have tight deadlines to meet today. I will summarize my points for all Tanzanians.
i) You will always and forever play second fiddle to Kenya ie We will always rule east africa
ii) You are not ready intellectually or economically to swim with sharks, play in your league (Zambia, Mozambique,Burundi and Uganda)
Kujifariji ndio walichobakiza πππNaona adabu ss imewakaa mpk mnatoa kauli za kujifariji huwa nafurahi sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Nooo, in skills 1 Tanzanian Neurosurgeon= 10 Kenyan Neurosurgeons! π .....alisikika akisema _____. [emoji38]Kenya 54 Neurosurgeons Vs Tanzania 10 Neurosurgeons, this thread should be closed
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kuwa Watanzania wengi bado hawamudu gharama za matibabu, suala la bima ya afya kwa kila Mtanzania lifanyiwe kazi ili matunda haya yawafikie hata wale walala hoiKiukweli linapokuja suala la afya tanzania tunajitahidi kuwekeza. Mloganzila ni kama mbele, Musoma na Mtwara wako wanamalizia facilities na hata ukiziona tu unajua sio mchezo. Bado private players ,Bugando aghakan (mwnz na dar) wamefanya uwekezaji sio wa kitoto. Cha muhimu serikali iongeze nguvu kwa watumishi,soon madaktari 1000 wanaingia mzigoni. Mungu ibariki hii nchi