Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
ati Tanzania haina Level 3 research facility unaumwa mavi wewe!Yes, kutumia dawa zinzazofaa, as in accuracy in diagnosing and prescribing treatment... nyinyi mnagawanya dawa vizuri mkitumia guidlines mlizojiwekea alafu madawa yakifika kwa mahospitali, madaktari wenu wanashindwa ku diagnose magonjwa na wanaishia kupatia watudawa ambazo hata hazifai 😇
View attachment 1432669
Alafu kuhusu mambo ya research za viral disease, Tanzania haina Level 3 research facility hata moja, kwahivyo wachia mambo ya utafiti kwa wataalam wanaojua,
Takwimu za madaktari kwa hio tovuti zinakua updated kila siku!, lakini endelea kujipa moyo ukijiliwaza kwamba tuko level moja 🤣🤣Takwimu za zamani sana hizo 😁😁😁😁
Si ulete hapa tuioneati Tanzania haina Level 3 research facility unaumwa mavi wewe!
Source is World Bank's Service Delivery Indicators Report for Uganda, which was comparing Uganda's Health and Education to neighboring countriessource?
Si ulete hapa tuione
Si ulete hapa tuione
wacha unyoko nyoko mshikaji!Si ulete hapa tuione
BSL 1 – 3 Laboratory facilities for:Research Capacity and Excellence
Traditional Medicine Research Department: A herbal medicine production unit under NIMR Headquarters. NIMR has a dossier of seven herbal products undergoing registration ranging from treatment towards malaria, liver disorders, diabetes and cholesterol control, benign prostrate hypertrophy, opportunistic infections, and for colds.
Bio Safety Level (BSL) 4 Mobile Laboratory for disease outbreak response for Risk Group 3 - 4 Pathogens e.g. Ebola virus, Marburg virus.
BSL 1 – 3 Laboratory facilities for: Entomology; Molecular Biology; Virology; Immunology; Tuberculosis; Microbiology; Parasitology; Biochemistry; Haematology; investigational Medicinal Products (IMP) e.g. traditional medicinal products
Field sites with facilities e.g. dispensaries; experimental huts; mosquito spheres; animal houses; insectaries;
Facilitation of training of post-graduate students, fellowships, placement
National Ethics Review framework. NIMR hosts the Medical Research Coordinating Committee (MRCC). The MRCC facilitates ethical review through the National Health Research Ethics sub-Committee (NatHREC).
National Institute for Medical Research (NIMR) | EA Health
Nikikuambia huwa unaumwa mavi huwa sidanganyi!Si ulete hapa tuione
What is credibility of this data?Watanzania wengine sometimes huwa mnakua na kaushamba flani vile, sasa kwavile mmefungua hospitali mpya ndo basi mshaipiku Kenya kwa sector ya Afya? Hivi mbona bado watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa kuliko wakenya?
Hebu tuangalie hizi takwimu hapa ndo mjue vile bado Tanzania mko nyuma sana kwa sector ya Afya kulinganisha na Kenya. Lakini ukilinganisha na nchi za magaribi au hata SA, sote tuko nyuma sana!
General Surgions
Kenya - 257
Tanzania - 63
Majina yao utayapata hapa Browse for healthcare providers – select a country
Nuclear Medicine specialist
Kenya - 1
Tanzania - 1
Vascular Surgeon
Kenya - 0
Tanzania - 0
Radiologist
Kenya - 68
Tanzania - 22
Browse for healthcare providers – select a country
Neurosurgeon
Kenya - 24
Tanzania - 7
Browse for healthcare providers – select a country
Ear, Nose & Throat Surgeon (ENT)
Kenya - 92
Tanzania - 40
Browse for healthcare providers – select a country
Cardiologist
Kenya - 67
Tanzania- 51
Cardiac & Thoracic Surgeon
Kenya - 16
Tanzania - 11
Browse for healthcare providers – select a country
Anaesthetist --- (Sidhani kama unawezakufanya upasuaji wowote mgumu wa kisasa bila hawa jamaa)
Kenya - 185
Tanzania - 16
-----------------------------
Yani kwa kifupi hakuna mahali Tanzania imeishinda kenya kwa wataalam wa Afya, sasa sijui hayo majengo ya hospitali mnajengea nani
From level 1 to 3 mind you NIMR has 8 centers across the country and not all having Level 3 BSL!BSL 1 – 3 Laboratory facilities for:
Hapo sasa inaonyesha nini?
A) BSL Level 1 to level 3 laboratory?
B) BSL Level 1 - has 3 laboratories for:
I think they meant there are 3 BSL level 1 laboratories and you got confused
BSL 1 – 3 Laboratory facilities for:
Hapo sasa inaonyesha nini?
A) BSL Level 1 to level 3 laboratory?
B) BSL Level 1 - has 3 laboratories for:
I think they meant there are 3 BSL level 1 laboratories and you got confused
Na vipi mbona WHO haija recognize any of these facilities?Nikikuambia huwa unaumwa mavi huwa sidanganyi!
Interventions and Clinical Trials
In Ifakara, Rufiji and Bagamoyo, IHI has developed platforms for surveillance, implementation science studies and clinical trials covering district hospitals and satellite clinics, providing the basis for Phase 2 and 3 clinical trials and pharmaco-vigilance. A new centre for clinical trials at Kingani area in Bagamoyo District was opened in 2012, and has already performed a bio-equivalence study and a malaria challenge study using fully infectious purified sporozoites.
Our clinical trial facilities in Bagamoyo and Ifakara are supported by laboratory capabilities in parasitology, haematology, biochemistry, immunology, molecular biology and a bio-safety level 3 laboratories for bacteriology and virology.
We are also providing technical support in other countries to start and implement clinical trials. For example, we currently have a group based in Equatorial Guinea supporting large-scale vaccine trial programs there.
Ifakara Health Institute | IHI
wewe utakuwa unageuzwa hiyo site ni WHO sio?Na vipi mbona WHO haija recognize any of these facilities?
Yani hata test ya ebola tu,WHO ilikua inawaambia mtume hizo samples Kenya ambako kuna WHO accreditade facility, hapa hatuongelei research, tunangelea kupima tu! hizo BSL3 zenu zilikua wapi??
-----------------------------
Global health officials asked Tanzania to share the results of its investigations but Health Minister Ummy Mwalimu asserts there is no need to submit a “negative sample” for further testing.
Countries with little or no experience testing for Ebola are asked to send samples to a WHO-accredited lab.
Tanzania rejects suspicions that it covered up Ebola cases | AccessWDUN.com
-------------------------------
I showed u three biosafety level III labs in Tanzania at Ifakara Health Institute (IHI), Kilimanjaro Clinical Research center (KCRInstitute) n National Institute of Medical Research (NIMR) u showed me one at KEMRI in the whole of Kunyaland!Si ulete hapa tuione
Hii tovuti nilionyeshwa na daktari wa watoto pale hospitali kuu ya KNH Nairobi tulipokua tumempeleka mtu flani tunae husiana alikua na mimba ya mtoto ambaye ana shimo kwa moyo (heart murmur) , kulikua na paedatric surgeon alikekua ametembelea KNH (visiting surgion) kutoka SA na nilimuuliza huyo daktari wa watotot hapo KNH tutaamini vipi huyo daktari wa kutoka SA kama anaweza kufanya huo upasuaji (corrective surgery).
Hizo porojo zote nikaisi unaelewa unacho ongea/andika kumbe shida...Hii iko ndani ya UDOM?
...