tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Hold on,hizi takwimu sio za kenya..Takwimu za madaktari kwa hio tovuti zinakua updated kila siku!, lakini endelea kujipa moyo ukijiliwaza kwamba tuko level moja 🤣🤣
Kwa wiki moja iliopita madaktari 487 wapia wa Africa wameongezwa kwa rekodi, na ndani ya siku 30 ukiesabu kuanzia March mwaka huu hadi Apr mwezi huu, rekodi 42,401 zimeangaliwa tena na zikakua updated, Kwa mfano, kama daktari alitoka hospitali ilioko Nairobi na Kwenda hospitali ilioko Mombasa, wanaondoa rekodi yake ya na kuiweka kwa takwimu za madaktari wallioko Mombasa
View attachment 1432690
Sent using Jamii Forums mobile app