Dodoma: Photos of Benjamin Mkapa Hospital, East Africa's milestone in medical field

Dodoma: Photos of Benjamin Mkapa Hospital, East Africa's milestone in medical field

Takwimu za madaktari kwa hio tovuti zinakua updated kila siku!, lakini endelea kujipa moyo ukijiliwaza kwamba tuko level moja 🤣🤣


Kwa wiki moja iliopita madaktari 487 wapia wa Africa wameongezwa kwa rekodi, na ndani ya siku 30 ukiesabu kuanzia March mwaka huu hadi Apr mwezi huu, rekodi 42,401 zimeangaliwa tena na zikakua updated, Kwa mfano, kama daktari alitoka hospitali ilioko Nairobi na Kwenda hospitali ilioko Mombasa, wanaondoa rekodi yake ya na kuiweka kwa takwimu za madaktari wallioko Mombasa

View attachment 1432690
Hold on,hizi takwimu sio za kenya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi picha niliziona mwaka 2017.
Kazichukua mtandaoni, kuna picha moja ya madaktai wazawa na wageni.
Hapo ilikuwa baada ya kufanya operation moja successful.
Mwaka juzi
We uko wapi kwenye hizo picha ?
 
Mbona unakimbia mambo yako mzee unalazimisha medical, Having two three elective courses in your outline doesn't qualify you to be a medical personnel, for your info every science course in the university teaches statistics for research purposes, and even those doing chemistry and teachers can do parasitology, immunology and pathology as elective courses, are they qualified to be medical personnels?
wewe unafanya plant breeding and genetic manipulation, that's where a molecular biologist in countries like Kenya can do. You don't fit even in our labs mzee as We have Lab scientist graduating every year, enda katengeneze breeds nzuri za maparachichi, we need to eat.

Sent using Jamii Forums mobile app
Since when did Parasitology and Immunology classified under chemistry?
 
Tunaongelea kuhusu research wewe unaleta mambo ya kujitayarisha kupambana na ebola.... Sisi tulituma madaktari 300 kule Siera leonne na Liberia huko ambako kulikua na mlipuko wa ebola.. Tanzania hadi wa leo mnakana kwamba mshawahi kupata +ve case ya ebola
Mbona kuna fununu kulikuwa na ebola Tz hadi sasa hivi kimya, alitibiwaje huyo mgonjwa na sampuli zilipelekwa wapi, maana zingeletwa kenya ingejulikana, that shows we can deal with ebola without approval ya anybody

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigeni tu kelele and your cases are approaching 500
 
Kwenye sekta ya afya, barabara, madaraja makubwa makubwa JK was the legend tofauti yake na huyu ni matangazo, huyu barabara zake zinachukua muda mrefu na mbovu but with too much matangazo while hamna kitu. Barabra ya kwenda Kigoma kupitia Kibondo tokea kaingia madarakani lakini hata km 100 hazijafika, matangazo sasa, khaa!
 
Hata wakifika buku sio tatizo tatizo ni wasife na covid-19 maana kwa sasa usitarajie maambukizi kushuka

Sent using Jamii Forums mobile app
The problem with your government is denial. In reality you may find that the number of deaths in your country are more than what's reported by the authorities. This is confirmed by the numerous videos and pictures circulating on social media mkizika wenzenyu who died of corona.
 
The problem with your government is denial. In reality you may find that the number of deaths in your country are more than what's reported by the authorities. This is confirmed by the numerous videos and pictures circulating on social media mkizika wenzenyu who died of corona.
Ficha ujinga wako, ni watu wangapi wamezikwa kenya tena kiholela kabisa, vifo vingapi haviripotiwi kenya mbn huzungumzii yenu, unaisema serikali kwmb wanaendekeza denial style je ulitaka ifanyeje km vifo inatangaza au hujatosheka? Unataka watangaze vifo million ndo ulizike, u r very stupid, btw wkt unapambana na locust, mafuriko, rushwa, uzembe wa serikali, na covid-19, pambana na nyingine hiyo apo achana na Tz inayopambana na corona pekee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-04-29-12-48-55.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
The problem with your government is denial. In reality you may find that the number of deaths in your country are more than what's reported by the authorities. This is confirmed by the numerous videos and pictures circulating on social media mkizika wenzenyu who died of corona.
Nyie gov yenu inavyowachapa viboko ndio mnajiona mmesogea? He unahakika gani kwamba huko kwenu hali shwari?gov ili hasa inayosema ukwel?Hoja zako bado zinakukataa wewe mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unakwepa debate, umepewa nondo hapo juu unaanza kuleta BS.
Wewe nilikwambia ni propagandist utaishia kudanganya watu youtube na nairaland, ukija humu JF utakuwa knocked out.

Sent using Jamii Forums mobile app
You do not have points, you argue a lot without facts.Want to know why I kept quiet. Read the quote below.

“Never argue with a fool, onlookers may not be able to tell the difference.
 
Ficha ujinga wako, ni watu wangapi wamezikwa kenya tena kiholela kabisa, vifo vingapi haviripotiwi kenya mbn huzungumzii yenu, unaisema serikali kwmb wanaendekeza denial style je ulitaka ifanyeje km vifo inatangaza au hujatosheka? Unataka watangaze vifo million ndo ulizike, u r very stupid, btw wkt unapambana na locust, mafuriko, rushwa, uzembe wa serikali, na covid-19, pambana na nyingine hiyo apo achana na Tz inayopambana na corona pekee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1434438
I feel the pain you have. Let's do this, I can provide more than three evidences of corona virus victims being buried secretly while on the other hand you can't even mention one like that in Kenya. I can show you evidences of people saying their relatives has died from Covid but your govt is covering it but you can't provide the same when it comes to Kenya. What I know with you is that anytime you are overwhelmed in argument you usually turn to insults





 
Just tell us which part of Chemistry do Parasitology fall. If you give me that answer I won't bother you again.
Arguing with a Tanzanian is like playing chess with a pigeon, it will scatter all the pieces and poop on the board then claim it has won ie They are impervious to facts and reason. Do not waste your energy.
 
Nyie gov yenu inavyowachapa viboko ndio mnajiona mmesogea? He unahakika gani kwamba huko kwenu hali shwari?gov ili hasa inayosema ukwel?Hoja zako bado zinakukataa wewe mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
As far as this pandemic is concerned, I'm 99% sure the government is telling us the truth. GOK is not hiding the number of deaths and cases the way your government is doing. Siku utakutana na any news of someone who has died of Covid and s/he didn't accounted among the dead please feel free to notify me.
 
Back
Top Bottom