Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili hatua nyingine za kisheria ziweze kufuata.
Aidha, Jeshi la Polisi linalaani kitendo hicho cha kikatili na kilicho kinyume na sheia. Pia, linatoa wito kwa wananchi kuendelea kufichua vitendo kama hivyo, kuvilaani kuvikemea kwani vinaweza kusababisha madhara kwa watoto ili hatua zichukuliwe kabla madhara hayajatokea.
Taarifa ya Jeshi la Polisi;