Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, amesema Rais Samia atazungumza na wanawake wa Mkoa wa Dodoma kwa niaba ya kina mama wa mikoa yote.
”Wakina mama kwa uwakilishi wao wa makundi mbalimbali kutoka wilaya za Dodoma na maeneo ya karibu wamepewa mwaliko wa kushiriki kwenye mkutano huo,” amesema Mtaka.
Aidha, ametaja makundi hayo kuwa ni pamoja na wabunge wanawake bila kujali wapo chama gani, madiwani na makundi kama wajasiriamali, mama ntilie na kila aina ya kina mama watapata nafasi ya kuwakilishwa na wenzao.
hapo ndipo wanapoharibugu, ilitakiwa wanawake wote kwa makundi makundi kwa mfano:-Wote hapo ni sisiemu
Wachungaji na mashekhe na wazazi ndo wapiganie hayo mambo ya maadili. Raisi apambane na uchumi na amani ya nchi. Atakayesagwa hilo ni tatizo lake la kimaadili.Ajitahidi akemee sana 'Usagaji' mkubwa.
Wapo hadi wasio na vyama wamehudhuria.Wote hapo ni sisiemu
Hicho ni kikao cha Kitchen Party
Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, amesema Rais Samia atazungumza na wanawake wa Mkoa wa Dodoma kwa niaba ya kina mama wa mikoa yote.
”Wakina mama kwa uwakilishi wao wa makundi mbalimbali kutoka wilaya za Dodoma na maeneo ya karibu wamepewa mwaliko wa kushiriki kwenye mkutano huo,” amesema Mtaka.
Aidha, ametaja makundi hayo kuwa ni pamoja na wabunge wanawake bila kujali wapo chama gani, madiwani na makundi kama wajasiriamali, mama ntilie na kila aina ya kina mama watapata nafasi ya kuwakilishwa na wenzao.
Angalau ingependezahapo ndipo wanapoharibugu, ilitakiwa wanawake wote kwa makundi makundi kwa mfano:-
1. Umoja wa wanawake wote toka katika vyama vya siasa nchini vilivyo na usajili wa kudumu.
2. Wanawake wanaharakati haki za binadamu
3. Wanawake Wabunge na viongozi wa umma
4. Wanawake wajasiliamali na wafanyabiashara
5. Wanawake toka makundi ya walemavu
6. Wanawake toka vyuo vikuu vyote nchini
7. Wanawake Wafanyakazi wa umma
8. Wanawake wakulima na wafanyakazi
9. Wanawake wawakilishi toka wafanyakazi wa ndani / Bar / Sehemu za starehe
10. Mwakilishi wanawake Raia wa Tanzania.
Makundi walau yangekuwa hivi kuna mtu angetia neno ndugu zangu??
SawaWapo hadi wasio na vyama wamehudhuria.
Hao wote wako hapa mkuuhapo ndipo wanapoharibugu, ilitakiwa wanawake wote kwa makundi makundi kwa mfano:-
1. Umoja wa wanawake wote toka katika vyama vya siasa nchini vilivyo na usajili wa kudumu.
2. Wanawake wanaharakati haki za binadamu
3. Wanawake Wabunge na viongozi wa umma
4. Wanawake wajasiliamali na wafanyabiashara
5. Wanawake toka makundi ya walemavu
6. Wanawake toka vyuo vikuu vyote nchini
7. Wanawake Wafanyakazi wa umma
8. Wanawake wakulima na wafanyakazi
9. Wanawake wawakilishi toka wafanyakazi wa ndani / Bar / Sehemu za starehe / wasanii
10. Mwakilishi wanawake Raia wa Tanzania.
Kila kundi lingekuwa na sehemu yake (identified) hata ikiwezekana sare maalum.
Kila mwakilishi wa kundi angepewa walau dakika 5 tu za kutoa dukuduku / changamoto kubwa waliyonayo, kabla ya Rais kuhitimisha.
Makundi walau yangekuwa hivi kuna mtu angetia neno ndugu zangu??
Si kweli - hilo kama umedanganya tuombe radhi wana JF.Hao wote wako hapa mkuu
Hahhhahaa..si kweli - hilo kama umedanganya tuombe radhi wana JF.
Ukidhulumu watu utalipa kwa damu yako na ndio yaliyomkuta huyo mungu wenu, kazi ya Mungu haina makosa na Bwana Asifiwe sana.Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.
Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na ccm.
My take.
Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.
Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.
![]()
Mbowe: Hatukuwa na wagombea sahihi
Kuanza sasa wanachama wa Chadema watakuwa wakivaa sare za chama hicho kila Jumamosi ikiwa ni mkakati wa kuongeza motisha kwa makada wake wote.www.mwananchi.co.tz
Ni kweli makundi yote yamewakilishwa.si kweli - hilo kama umedanganya tuombe radhi wana JF.
Huu ukumbi unaweza kubeba watu 10,000?Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete.