Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

Na sisi wanaume inabidi tupange tukutane na mama yetu, maana na sisi tuna yetu ya binafsi yanayotusibu kama wanaume.
Ukikutana nae utamwambia nini labda!??
 
Mkutano na wanachekechea, Polepole atakuwepo. Kesho igunga. Chekechea oyeeeee!!
 
Ukikutana nae utamwambia nini labda!??
kuna wanaume wanabambikiziwa mimba ki utemi utemi, wananyanyaswa kunyimwa unyumba au kupewa kwa masharti, wakikosa kipato wananyanyasika sana hadi wengine wanakufa kwa msongo wa mawazo nk

Baadhi ya wanawake ni watemi mno endapo kipato cha mwanaume kitayumba ni manyanyaso!! these issues needs to be addressed nationally - baadhi ya wanaume wanateseka mno kwenye ndoa ila wanabakia kimya maana platform ya kusemea haipo.

Wewe ndugu kama una mwanamke muelewa safi, ila wenzako wanateseka!! kufa na tai shingoni.
 
Muda mwingi anapambania gender balance kuliko mambo ya msingi
Yule dikteta alikuwa anapambania kuua watu na kuteka, Bora limekufa nchi imepata Rais mfariji sio yule ibilisi
 
Yule dikteta alikuwa anapambania kuua watu na kuteka, Bora limekufa nchi imepata Rais mfariji sio yule ibilisi
Wewe una akili ya kuku. You have blood on your hands. He didn’t die but he was murdered.
 
Rais Samia amesema amejitahidi kuwaweka wanawake katika wizara nyeti ili klielekea lengo la 50/50

Mama Samia amesema wizara nyeti za Afya, Elimu, Uhusiano wa kimataifa na Tamisemi zinaongozwa na Wanawake wasomi.

Kadhalika Katibu wa bunge naye amemteua Mwanamke akashirikiane vizuri na Dr Tulia na Wanawake wengine bungeni.

Source: Channel ten!
 
Yaani wanawake sasa hivi wanaringa sana wanajiona wako juu ya vichwa vya wanaume. Huyu mama akiwaendekeza atajikuta anafanya ubaguzi bila kujua. Sasa ina maana maraisi wa kiume walikosea nao kuwa na kikao na wanaume watupu? Siku na sisi tukianza vikao wasianze kulalamika kuwa tuna wabagua.
 
Muda mwingi anapambania gender balance kuliko mambo ya msingi
Alivyo wa ajabu, kuna uandikishaji wa wakaazi wa mitaa, sasa issue iko hivi, kama mwanaume unamiliki nyumba watakuandika jina lako kama mmiliki na mkeo watamuandika mke lakini nyumba inayomilikiwa na mwanamke watamuandika kama mmiliki lakini muwewe watamuandika mgeni. Hapo Rais anapambania gender tu.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.

Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na ccm.


My take.

Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.

Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.

Screenshot_2021-06-08-15-28-19-1.png

Tofauti ya MENGI na BAADHI huyajui?
 
Back
Top Bottom