Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

hapo ndipo wanapoharibugu, ilitakiwa wanawake wote kwa makundi makundi kwa mfano:-

1. Umoja wa wanawake wote toka katika vyama vya siasa nchini vilivyo na usajili wa kudumu.
2. Wanawake wanaharakati haki za binadamu
3. Wanawake Wabunge na viongozi wa umma
4. Wanawake wajasiliamali na wafanyabiashara
5. Wanawake toka makundi ya walemavu
6. Wanawake toka vyuo vikuu vyote nchini
7. Wanawake Wafanyakazi wa umma
8. Wanawake wakulima na wafanyakazi
9. Wanawake wawakilishi toka wafanyakazi wa ndani / Bar / Sehemu za starehe / wasanii
10. Mwakilishi wanawake Raia wa Tanzania.

Kila kundi lingekuwa na sehemu yake (identified) hata ikiwezekana sare maalum.
Kila mwakilishi wa kundi angepewa walau dakika 5 tu za kutoa dukuduku / changamoto kubwa waliyonayo, kabla ya Rais kuhitimisha.

Makundi walau yangekuwa hivi kuna mtu angetia neno ndugu zangu??
Hakuna tabu atafanya wakati mwingine
 
Back
Top Bottom