Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

Ajitahidi akemee sana 'Usagaji' mkubwa.
 
Wote hapo ni sisiemu
hapo ndipo wanapoharibugu, ilitakiwa wanawake wote kwa makundi makundi kwa mfano:-

1. Umoja wa wanawake wote toka katika vyama vya siasa nchini vilivyo na usajili wa kudumu.
2. Wanawake wanaharakati haki za binadamu
3. Wanawake Wabunge na viongozi wa umma
4. Wanawake wajasiliamali na wafanyabiashara
5. Wanawake toka makundi ya walemavu
6. Wanawake toka vyuo vikuu vyote nchini
7. Wanawake Wafanyakazi wa umma
8. Wanawake wakulima na wafanyakazi
9. Wanawake wawakilishi toka wafanyakazi wa ndani / Bar / Sehemu za starehe / wasanii
10. Mwakilishi wanawake Raia wa Tanzania.

Kila kundi lingekuwa na sehemu yake (identified) hata ikiwezekana sare maalum.
Kila mwakilishi wa kundi angepewa walau dakika 5 tu za kutoa dukuduku / changamoto kubwa waliyonayo, kabla ya Rais kuhitimisha.

Makundi walau yangekuwa hivi kuna mtu angetia neno ndugu zangu??
 
Hicho ni kikao cha Kitchen Party
 
Ni Sawa!!

Lakini Kwa Dunia ijayo, naiona Dunia ikiwa upande wa wanawake, dalili zote zinaonekana,

Mikopo inayotolewa na halimashauli zetu, Kwa mwanaume pekee ndio zimempa vigezo vya kuzingatia, Kwa mwanamke ni free ili Hali hizo ni Kodi zetu wote,

Huo ni mf mdogo tu Kati ya vingi vinavyowabeba sasa hawa wake zetu, dada zetu, mama zetu, wakati huohuo wao, wanakampeni ya 50/50 ili Hali sehemu za mikopo hiyo wanapiga 80/20, hii ni ajabu tena

Huko tuendako, Mandiko yanaonyesha, itafika kipindi, wanaume watakuwa wakiwaogopa wanawake kuwatongoza, ila wao watakuwa wakimtafuta mwanaume mmoja wakiwa kama Saba hivi kumlazimisha mwanaume kuwapa chakula Chao!! 😝

Isaya 4:1
[1]Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema,
 
Angalau ingependeza
 
Hongera Mtaka na waandaaaji ule ujinga na ushamba wa uccm mavazi haupo ,naona umoja wa kitaifa kurejea kwa masuala ya kitaifa.Hongera Mama Samia kuliunganisha taifa.
 
Hao wote wako hapa mkuu
 
Ukidhulumu watu utalipa kwa damu yako na ndio yaliyomkuta huyo mungu wenu, kazi ya Mungu haina makosa na Bwana Asifiwe sana.
 
Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Huu ukumbi unaweza kubeba watu 10,000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…