Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

Hili la barakoa naona hata wanawake wenzake wamelipuuza...
 
Nafuu huyu anaye deal na gender balance kuliko yule aliyekuwa anashinda kurekodi maongezi ya simu za wastaafu na kulala kwenye mawe kama kenge
Bado tu Unapigana na maiti? Mpige kichwa! Mkate ngwala - Karibu utamshinda, jikaze usiwe mwoga! Utamshinda huyo maiti.
 
Hongera Mtaka na waandaaaji ule ujinga na ushamba wa uccm mavazi haupo ,naona umoja wa kitaifa kurejea kwa masuala ya kitaifa.Hongera Mama Samia kuliunganisha taifa.
Hahhaha.. Unajaribu kulazimisha kitu ambacho hakipo!

Hujaona mavazi ya ccm pale?

Na amekishukuru sana chama cha mapinduzi!

We baki na mabavicha wenzio
 
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anafanya mkutano na wanawake wa makao makuu ya nchi jijini Dodoma na kuzungumza na taifa...
wamependeza na papasi zao mdomoni kwa kweli sinaongeza kitu yaani ghafla midomo inakuwa mirefu kama nguruwe
 
Bado tu Unapigana na maiti? Mpige kichwa! Mkate ngwala - Karibu utamshinda, jikaze usiwe mwoga! Utamshinda huyo maiti.
Hata akifufuka anakufa tena, hatuna Jambo dogo
 
Ajitahidi akemee sana 'Usagaji' mkubwa.
Na mavazi hasa hizi suruali skin tight halafu zenye kuoyesha everything mbele na nyuma, hizo zingekuwa kwa mchana zinaenda na t shirt zenye kufunika the subject matter
 
A COVID-19 spread event! Nendeni na wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…