Halafu unakuta miafrika huko Nigeria imeletewa dini tu, inafuga midevu inakataza watoto wa kike wasisome eti wakae ndani tu. Kama wazazi wa hawa viongozi bora wasingewasomesha leo tungeona uongozi wao. Kama waarabu wenye dini yao wanathamini Mwanamke mpaka anakuwa kiongozi wewe mwafrika na watalibani mlioletewa tu dini mbona mnagandamiza na kunyima haki watoto wa kike?