Dodoma: Rais Samia azindua Makao Makuu ya ULINZI wa Taifa

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
RaisSamia Suluhu anazindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, mkoani Dodoma, leo tarehe 24 Februari, 2026

===================

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliopo Kikombo jijini Dodoma.





Your browser is not able to display this video.
 
Kama mtu alifanya ushenzi tarehe 29 hawezi kushikishwa adabu tarehe 30?
Waliouwawa wengi ninaowajja hawakushiriki chochote?abda kama hujui unachoandika
Nawacahami wengi hata umri wa kupiga kura Bado na walipigwa risasi tu kwakuwa walikutwa madukani wakinunua mahitaji waliyotumwa na wazazi wao
 
Waliouwawa wengi ninaowajja hawakushiriki chochote?abda kama hujui unachoandika
Nawacahami wengi hata umri wa kupiga kura Bado na walipigwa risasi tu kwakuwa walikutwa madukani wakinunua mahitaji waliyotumwa na wazazi wao
Yaani mzazi unasikia milio ya risasi na mabomu unapata wapi ujasiri wa kumtuma mwanao aende dukani?

Ukiona kuna ulazima sana toka mwenyewe.
 
Kiboko ya chadema aliyeina kura na kuua watu Kisha kuapishwa mbele zaakomandoo?
Ulishawahi sikia raisi anakwenda kujificha jeshini? Huyu alijifivha ngerengere?
 
Kavaa magwanda hata push-up mbili hawezi kupiga
 
Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa vs Makao Makuu ya Jeshi
 
Hiki ni kitengo kipya?NSA ya Tanzania?

Maana nafahahmua kuna TISS-ambao huwa wanaitwaga USALAMA wa TAIFA hala kuna JWTZ amba ni Jeshi la ULINZI.Anyway....
Una idea ya National Defence HQ hapo ni jengo la JWTZ kama Pentagon ya Marekani usalama wa Taifa huwa hakuna Showoff utaona wanaingia na kutoka tuu ofisini kwao hakuna mabango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…