Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Waache waendelee kuishi na maumivu wakumbuke tu presha na kansa vinawasubiri mbeleni huko.Watu wanaumia sana kuona Tanzania inaimarika kiulinzi na Usalama.
Waache waendelee kuishi na maumivu wakumbuke tu presha na kansa vinawasubiri mbeleni huko.Watu wanaumia sana kuona Tanzania inaimarika kiulinzi na Usalama.
Kila kifo kinasikitisha sana lakini wakumbuke kupeleka lawama kwa Gen Z walioleta upuuzi na ujeuri wa kutaka kutunishiana misuli na mapolisi.Wanaouwawa huko Gaza,Ukrain,DRC nk Huwa wanashiriki vita?
Vita Haina macho muraa
RaisSamia Suluhu anazindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, mkoani Dodoma, leo tarehe 24 Februari, 2026
===================
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliopo Kikombo jijini Dodoma.
Hapo tatizo lilikuwa ni la watuliza vurugu na kuleta amani, wakaenda kufanya ambacho hawakuagizwa wafanye… kutupatupa risasi hovyo kwa kila mtu ndio matokeo yake haya leo hii nchi ikaingia kwenye misiba kila kona kutokana na maamuzi ambayo binafsi naweza kusema yalikuwa ya jazba au kiu lawama zote zinawarudia waheshimiwa na watu mpaka leo wanaamini kwamba Mama wa watu ndio aliwatuma, dah!Waliouwawa wengi ninaowajja hawakushiriki chochote?abda kama hujui unachoandika
Nawacahami wengi hata umri wa kupiga kura Bado na walipigwa risasi tu kwakuwa walikutwa madukani wakinunua mahitaji waliyotumwa na wazazi wao
Njaa ndugu yangu 😔Yaani mzazi unasikia milio ya risasi na mabomu unapata wapi ujasiri wa kumtuma mwanao aende dukani?
Ukiona kuna ulazima sana toka mwenyewe.
Umepata mshahara maana juzi ulikuja unalia kuwa huna hata pesa ya kula.Yaani mzazi unasikia milio ya risasi na mabomu unapata wapi ujasiri wa kumtuma mwanao aende dukani?
Ukiona kuna ulazima sana toka mwenyewe.
Nilisema nimebakiwa na elfu 50 tu. na ilikuwa bado siku moja kupata mshahara.Umepata mshahara maana juzi ulikuja unalia kuwa huna hata pesa ya kula.
Kama hujapata nambie
Roho mbaya zitawaua.Waache waendelee kuishi na maumivu wakumbuke tu presha na kansa vinawasubiri mbeleni huko.
Hq ya watekaji?RaisSamia Suluhu anazindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa,
Vijana walijifunza kwa njia ngumu sana, waliwaletea uhuni wale jamaa wa kikosi maalum wakawakuta ni wahuni zaidi yao.Hapo tatizo lilikuwa ni la watuliza vurugu na kuleta amani, wakaenda kufanya ambacho hawakuagizwa wafanye… kutupatupa risasi hovyo kwa kila mtu ndio matokeo yake haya leo hii nchi ikaingia kwenye misiba kila kona kutokana na maamuzi ambayo binafsi naweza kusema yalikuwa ya jazba au kiu lawama zote zinawarudia waheshimiwa na watu mpaka leo wanaamini kwamba Mama wa watu ndio aliwatuma, dah!
Vile msisahau kulaumu na hawa vijana wetu waliojitoa akili na kuanzisha vurugu mitaani, kukaba, kupora, kudhuru watu na kutunishiana misuli na polisi kwa kuwatukana matusi na kuwarushia mawe… gharika ikashuka ikawadhuru waliohusika na wasiohusika 😔
Nyie mazuzu ya uvccm mnatia kinyaa kweliWanaouwawa huko Gaza,Ukrain,DRC nk Huwa wanashiriki vita?
Vita Haina macho muraa
Kiboko ya CHADEMA na TEC😎
Ulieubiria vitangazwe wakati mnaleta vurugu?Nyie mazuzu ya uvccm mnatia kinyaa kweli
Hiyo vita na alitangaza
Na ilikuwa kati jeshi na akina nani
Kiulinzi na kiusalama ama hayo ni mapango ya kutekea wapinzani?Watu wanaumia sana kuona Tanzania inaimarika kiulinzi na Usalama.
Wakizingua watatekwa tu hakuna namnaKiulinzi na kiusalama ama hayo ni mapango ya kutekea wapinzani?