Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hayo makao makuu utakuta ni kwa ajili ta kuteka wapinzani.Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa vs Makao Makuu ya Jeshi
Hayo makao makuu utakuta ni kwa ajili ta kuteka wapinzani.Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa vs Makao Makuu ya Jeshi
Ofisi za CIA, za Scotland Yard, za, CSIS, za DGSE na nyingine kubwa duniani zina mabango na ofisi zao kila mtu anajua zilipo. Huko madongo poromoka bado mko enzi za ujima sana.Una idea ya National Defence HQ hapo ni jengo la JWTZ kama Pentagon ya Marekani usalama wa Taifa huwa hakuna Showoff utaona wanaingia na kutoka tuu ofisini kwao hakuna mabango
We maku unaongea umakumaku tuYaani mzazi unasikia milio ya risasi na mabomu unapata wapi ujasiri wa kumtuma mwanao aende dukani?
Ukiona kuna ulazima sana toka mwenyewe.
RaisSamia Suluhu anazindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, mkoani Dodoma, leo tarehe 24 Februari, 2026
===================
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliopo Kikombo jijini Dodoma.
Kwani hata hapa zipo makumbusho, Saint petters Oysterbay na katik mikoa na wilaya Tanzania kote ?Ofisi za CIA, za Scotland Yard, za, CSIS, za DGSE na nyingine kubwa duniani zina mabango na ofisi zao kila mtu anajua zilipo. Huko madongo poromoka bado mko enzi za ujima sana.
Tunatunza record tu maana kibao hakina muda kitageuka.Wakizingua watatekwa tu hakuna namna
Palikuwa na vita Tanzania hapo tarehe 29 October had nov 3? Ilikuwa kati ya serikali wezi wa kura na watu wake? Mbona jirani yangu alipigiwa risasi akiwa dukani?Wanaouwawa huko Gaza,Ukrain,DRC nk Huwa wanashiriki vita?
Vita Haina macho muraa
tahira mkubwa weweWe maku unaongea umakumaku tu
Exactly my point, then we're on the same page.Kwani hata hapa zipo makumbusho, Saint petters Oysterbay na katik mikoa na wilaya Tanzania kote ?
Pole kwa msiba wa jirani, siku nyingine watanzania wote tusikubali ushawishi wa wapuuzi kina Mange na Maria.Palikuwa na vita Tanzania hapo tarehe 29 October had nov 3? Ilikuwa kati ya serikali wezi wa kura na watu wake? Mbona jirani yangu alipigiwa risasi akiwa dukani?
Mange na maria ndo walioiba kura na kuua watu?Pole kwa msiba wa jirani, siku nyingine watanzania wote tusikubali ushawishi wa wapuuzi kina Mange na Maria.
Kwanini aibe kura wakati anachokifanya kinaonekana?.Mange na maria ndo walioiba kura na kuua watu?
Alipigiwa kura na kina nani? Mana walimu na wasimamizi walifungiwa Ili watiki. Naweza kuthibitisha.Kwanini aibe kura wakati anachokifanya kinaonekana?.
Shule za amali 103 nchi nzima, uibe kura kwa sababu gani?.
SGR inakaribia kufika kwetu kule Lusahunga uibe kura kwa ajili ya nini?.
Mange na Maria ni wasaliti wa nchi hii, siku yao inakuja.
Sisi tuliipigia kura CCM wakati vijana wa CDM na wahuni wao wakiiba mitungi ya gesi na kuchoma baadhi ya vituo vya kupigia kura.Alipigiwa kura na kina nani? Mana walimu na wasimamizi walifungiwa Ili watiki. Naweza kuthibitisha.
Hivi kweli unaona fahari kuua !!!!! kwa kuwa tu wewe ni Mzanzibar unafurahia kuwateketeza Watanganyika.Kama mtu alifanya ushenzi tarehe 29 hawezi kushikishwa adabu tarehe 30?
2001 mbona Watanganyika hamkupiga kelele?Hivi kweli unaona fahari kuua !!!!! kwa kuwa tu wewe ni Mzanzibar unafurahia kuwateketeza Watanganyika.