DODOMA: Rais Samia kuunda Kamati Maalumu kufuatilia mwendo wa Majeshi yote nchini

Ni kupeana ulaji tupu, nani hajui matatizo ya rushwa za barabarani na kwenye upelelezi?
 
... teh! Kwa wale jamaa wa barabarani dawa ni kurekebisha sheria faini iwe TZS 500 watu watalipa chap hakuna kuhonga trafiki.
 
... teh! Kwa wale jamaa wa barabarani dawa ni kurekebisha sheria faini iwe TZS 500 watu watalipa chap hakuna kuhonga trafiki.
Aisee watakufa njaa! 😁😁😁

Jamaa utafikiri somo la kupokea rushwa limo kwenye mitaala yao huko chuoni! Maana wanaona kama ni hayo vile kupokea rushwa.
 
Sasa huyu Wambura na Kingai waliokuwa wanateka na kubambikiza watu kesi ndiyo wanategemewa kuja na mabadiliko kweli ..... Utani mwingine, sometimes unaudhi .....!!
 
Aisee watakufa njaa! 😁😁😁

Jamaa utafikiri somo la kupokea rushwa limo kwenye mitaala yao huko chuoni! Maana wanaona kama ni hayo vile kupokea rushwa.
... yaani wameizoea rushwa na rushwa imewazoea. Tatizo linakuja nani yupo tayari kulipa faini elfu 30 na rekodi zake zibaki kwenye systems badala ya kulipa elfu 5 au 10 akasepa? Kiini cha tatizo kiko hapo.
 
Tanzania ni nchi ya tume, mbona hata akirudi kwenye mijadala ya Bunge, mbona Kuna napendekezo mazuri, na ushauri, hata hivyo bila katiba mpya ,zitaundwa tume nyingi na hapatakuwepo na jipya
 
Hii sio tume ya kufuatilia ni tume ya kupendekeza mabadiliko ya mfumo mzima wa majeshi yetu. Unakosea kusema kufuatilia!. Yaani mfumo wa upatrikanaji wa polisi, upandishaji wa vyeo, teknologia, mahusiano na jamii, rushwa ..........wataalamu
 
Tanzania ni nchi ya tume, mbona hata akirudi kwenye mijadala ya Bunge, mbona Kuna napendekezo mazuri, na ushauri, hata hivyo bila katiba mpya ,zitaundwa tume nyingi na hapatakuwepo na jipya
Ni njia za ulaji tupu na wakati matatizo ya polisi yapo wazi hayahitaji tume wala nini ni muundo na mfumo
 
Heheheh Mungu wee anataka kujuwa urefu wa shimo nadhani atakacho pata kitakuwa kiza kinene... Nakama nikugusa hiyo mizizi basi nasali asuguse akanasa. Mungu ibariki Tz. Sidhani kama alipaswa kutangaza. Maoni tu.
 
Pia kumkumbusha tu huwezi leta mabadiliko ktk jeshi kama ujaweka katiba mpya na uchaguzi wa haki. Haitowezekana. Milele.
 
Heheheh Mungu wee anataka kujuwa urefu wa shimo nadhani atakacho pata kitakuwa kiza kinene... Nakama nikugusa hiyo mizizi basi nasali asuguse akanasa. Mungu ibariki Tz. Sidhani kama alipaswa kutangaza. Maoni tu.
Kwani hujawahi hata siku moja kusikia kuwa kuna taaluma ya uigizaji?

Natabiri kuwa hadi amalize uongozi wake, huyu atakuwa na sifa kuu ya uigizaji.
 
Hayatekelezeki haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…