Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kama sikosei pesa za mradi huu zilitolewa na ADB. Acha tuongoje mengine kama uwanja wa ndege mkubwa na uwanja wa mpira ile zawadi ya mtoto wa mfalme wa Morocco.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kuweka aya pekee.....na ufanye marekebisho,sio miradi yoote uliyoandika aliiasisi magu mfano sgr,tofauti na hivyo utadondokea pua kama alivyodondokea jacq wa Mengi Kwa kuandika kwenye wosia hata Mali ambazo hazikuwa za mmeweMods.nisaidieni kuweka Aya hapo jmn.
Watu huwa wanatizama mbali miaka hata mia mbili mbele huko.population ya dodoma Ahihitaji ring roads,wakajifunze #zimbabwe
Hahahahaaaaa....Ni kweli aipige chini ili ile hela watuwekee mifukoni. Yaani sasa hivi ukipita mitaani unaokota hela nje nje.
Huku kwetu kuna shule iliahidiwa kuchukuliwa kwa ajili ya watoto wetu tena ni kubwaaa kwa primary na secondary mpaka High school,lakini tunaambiwa kwa Sasa haipo hata ktk bajeti ya mwaka 2021/2022 labda mwakaniii.Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi,mfano bwawa la mwal. Nyerere,reli ya mwendo Kasi (SGR) ,barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi.
Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na vijiji,na kuleta mvuto wa miji maeneo ambayo miradi hiyo ilipita.
Baada ya kifo Cha Hayati Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya tano kuna mijadara mingi mitaani kuhusu kuendelezwa kwa hii miradi,katika pitapita nikakutana na hili la kusitishwa kwa ujenzi wa ringroad ya kati ya jiji la Dodoma ambayo ilipotia maeneo ya mtaa wa Nkuhungu
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma amesitisha ujenzi wa ringroad hiyo na kuwaruhusu wananchi waendelee na shughuli zao za ujenzi kama kawaida, hii ni baadhi ya miradi ambayo iliasisiwa kipindi Cha Hayati Magufuli enzi za uhai wake ktk kulifanya jiji la Dodoma kuwa na muonekano mzuri na uliopangika vizuri.
Kwasasa mitaani watu wanajasili je hii miradi iliyoasisiwa na Hayati Magufuli itakamiika kweli!? au ndo hivyo tena itabaki hadithi ilisiyokuwa na mwisho!
Japo kuna siku nilimsikia Waziri Mkuu aliwatoa wasiwasi watanzania kwa kusema , watu waondoe mashaka miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na Serikali ya tano yote itakamilishwa kwa muda uleule uliokuwa umekadiliwa awali enzi za uhai wa Hayati Magufuli.
Je, ilikuwa ni kuwatuliza watu pressure za mashaka au ! Kama hii miradi midogo imeanza kusitishwa mdogomdogo je hii mingine ya mabilioni ya pesa itakuwaje? Anyway ngoja tuone mambo yatakuwaje, ila wananchi tukeyatunza maneno ya Waziri Mkuu kwenye kumbukumbu zetu, alitutia moyo na kutuondoa mashaka kwamba miradi yote iliyoasisiwa na Serikali ya awamu ya tano itakamilika.
Waziri Mkuu tunakumbuka maneno yako,ipo siku tutataka utupe maelezo ,ilikuwaje?
View attachment 1812069
Mzee umempiga nondo Huyu bwege na ndugu zake wanawaza mishikaki tu na bia,wanasahau vizazi vyaoWatu huwa wanatizama mbali miaka hata mia mbili mbele huko.
Magufuli alikuwa anatambua kwamba baada ya miaka kadhaa, dodoma itafurika watu.
Ndio maana akaanza kuandaa miundombinu ya kimkakati ili wakati ukifika, watu wasianze kuzubaa zubaa na kutaabika ili shughuli za uchumi ziende haraka haraka na kwa wepesi.
Hiyo inaitwa akili ya kutizama mbali, yaani maono. Na sio kila mtu anaweza kuwa na akili ya aina hiyo hususani watu goigoi kama wewe mnaoishi kwa ujanja ujanja na utapeli wa kisiasa.
Nyinyi magoigoi kwa jinsi mlivyo na akili ya kutawaza mavi tu, mkipewa mlijenge hilo jiji la dodoma, mawazo yote yapo kwenye kuiba pesa za saruji na nondo ili mkanunue mishkaki na magari.
Nchi inayoongozwa na wanuka mikojo wasio na maono mapana ya muda mrefu itaishia kuwa ya ajabu ajabu tu.
Kwa mfano wewe, huna unalolijua zaidi ya kusubiri kuiba nondo na kula machips.
Hao unaowataja ni watumishi wa serikali walibanwa kuiba,sa hivi wanafurahia kuendelea kula nguruwe wakati nchi inajiokoteza okotezaHapa hautawaona kina missile of the toilet..babati..robert herielii..wao huwa wanakuja kwenye mada za kuwasuta kina sabaya na makondaa..
Mzee alishasema..mtanikumbukaaa..tartiiibuuu tunaelekea hukoo..
Yaani hivi vyote apige chini ili hio hela iingie mtaani.....Kama sikosei pesa za mradi huu zilitolewa na ADB. Acha tuongoje mengine kama uwanja wa ndege mkubwa na uwanja wa mpira ile zawadi ya mtoto wa mfalme wa Morocco.
Huyu mama hakuna kitu, kwa kweli hapa walikosea kwenye kuchanga karata zao.Hahahahaaaaa....
Kazi ya kuokota hela iendelee....
Upembuzi yakinifu maana yake nini?Upembuzi yakinifu lazima ufanyike
Makunduchi Gang kwenye ubora wenuHiyo miradi ya mihemko bila kupitishwa na bunge ...
Mh samia piga chini tuu...
Hatuwezi kuendesha nchi kwa mihemko ya mtu mmoja ..
Mh raisi tunakuamini sana
Wakina nani?Inatakiwa wafute miradi yote ya Magu, waanzishe Yao na waendelee na ule WA bandari Bagamoyo wamechelewa sana.
Atakuwa na haraka sana ya kutaka kumaliza haraka.Mkuu ukiandika weka aya.
Sababu ipi hiyo?Kuna sababu maalum iliyopelekea wakasitisha, Hawajakurupuka
We mwizi wa saruji lazima ulie lie.Mwendazake alikosa vision
Wanaoweza kufuta.Wakina nani?
Ulivyo na ubongo wa kuku unafikri dar hapa bila uwekezaji pangekuwa hivi palivyo?DODOMA pabaya huwezi kupafanya pawe pazuri kwanza mkoa gani upo upo tu umepauka vile. Hiyo Miradi bora wapeleke Mtwara maana tutanufaika na gas na Samak,dagaa,korosho . Damn Dodoma