Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Miradi ya chanjo na kuvaa barakoa.Miradi ipi ya akili aliyowekeza Mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miradi ya chanjo na kuvaa barakoa.Miradi ipi ya akili aliyowekeza Mama.
natamani mngeijua Dodoma vizuri na mahitaji yake, ni mji wa kimaskini ambao mradi kama huu huwenda ungefungua fursa kwao. hakika nawaambia msingependa mradi huu usitishwe sisi tunaelewa msaada wake.Hiyo miradi ya mihemko bila kupitishwa na bunge ...
Mh samia piga chini tuu...
Hatuwezi kuendesha nchi kwa mihemko ya mtu mmoja ..
Mh raisi tunakuamini sana
Vijamaa vya dsm huwa vinajiona nchi ni yenu...pakijengwa kwingine ni upotevu wa pesa eeee#population ya dodoma Ahihitaji ring roads,wakajifunze #zimbabwe.
#Dar es salaam lihitaji ring road,ianzie kurasini ipite pembeni ya mji itokeze hata ikibidi chalinze waende ZAO mbali....!
Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi,mfano bwawa la mwal. Nyerere,reli ya mwendo Kasi (SGR) ,barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi.
Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na vijiji,na kuleta mvuto wa miji maeneo ambayo miradi hiyo ilipita.
Baada ya kifo Cha Hayati Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya tano kuna mijadara mingi mitaani kuhusu kuendelezwa kwa hii miradi,katika pitapita nikakutana na hili la kusitishwa kwa ujenzi wa ringroad ya kati ya jiji la Dodoma ambayo ilipotia maeneo ya mtaa wa Nkuhungu
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma amesitisha ujenzi wa ringroad hiyo na kuwaruhusu wananchi waendelee na shughuli zao za ujenzi kama kawaida, hii ni baadhi ya miradi ambayo iliasisiwa kipindi Cha Hayati Magufuli enzi za uhai wake ktk kulifanya jiji la Dodoma kuwa na muonekano mzuri na uliopangika vizuri.
Kwasasa mitaani watu wanajasili je hii miradi iliyoasisiwa na Hayati Magufuli itakamiika kweli!? au ndo hivyo tena itabaki hadithi ilisiyokuwa na mwisho!
Japo kuna siku nilimsikia Waziri Mkuu aliwatoa wasiwasi watanzania kwa kusema , watu waondoe mashaka miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na Serikali ya tano yote itakamilishwa kwa muda uleule uliokuwa umekadiliwa awali enzi za uhai wa Hayati Magufuli.
Je, ilikuwa ni kuwatuliza watu pressure za mashaka au ! Kama hii miradi midogo imeanza kusitishwa mdogomdogo je hii mingine ya mabilioni ya pesa itakuwaje? Anyway ngoja tuone mambo yatakuwaje, ila wananchi tukeyatunza maneno ya Waziri Mkuu kwenye kumbukumbu zetu, alitutia moyo na kutuondoa mashaka kwamba miradi yote iliyoasisiwa na Serikali ya awamu ya tano itakamilika.
Waziri Mkuu tunakumbuka maneno yako,ipo siku tutataka utupe maelezo ,ilikuwaje?
View attachment 1812069
NAona mijusi mnatamba tu juaniKamfufue kenge wewe
pole punguza hasira wangu japo hata mimi huu mradi nimeumia nilivyouzungumzia jana kuna mtu akanitukana lakini hatimaye leo ameona kilichotokea.Watu huwa wanatizama mbali miaka hata mia mbili mbele huko.
Magufuli alikuwa anatambua kwamba baada ya miaka kadhaa, dodoma itafurika watu.
Ndio maana akaanza kuandaa miundombinu ya kimkakati ili wakati ukifika, watu wasianze kuzubaa zubaa na kutaabika ili shughuli za uchumi ziende haraka haraka na kwa wepesi.
Hiyo inaitwa akili ya kutizama mbali, yaani maono. Na sio kila mtu anaweza kuwa na akili ya aina hiyo hususani watu goigoi kama wewe mnaoishi kwa ujanja ujanja na utapeli wa kisiasa.
Nyinyi magoigoi kwa jinsi mlivyo na akili ya kutawaza mavi tu, mkipewa mlijenge hilo jiji la dodoma, mawazo yote yapo kwenye kuiba pesa za saruji na nondo ili mkanunue mishkaki na magari.
Nchi inayoongozwa na wanuka mikojo wasio na maono mapana ya muda mrefu itaishia kuwa ya ajabu ajabu tu.
Kwa mfano wewe, huna unalolijua zaidi ya kusubiri kuiba nondo na kula machips.
Unakula kula tu machips ya hovyo hovyo!
JPM hakuwa na akili,mradi kama wa airport ya Chato ulikuwa hauna maana kwa sasa,alikurupuka tu,Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi,mfano bwawa la mwal. Nyerere,reli ya mwendo Kasi (SGR) ,barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi.
Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na vijiji,na kuleta mvuto wa miji maeneo ambayo miradi hiyo ilipita.
Baada ya kifo Cha Hayati Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya tano kuna mijadara mingi mitaani kuhusu kuendelezwa kwa hii miradi,katika pitapita nikakutana na hili la kusitishwa kwa ujenzi wa ringroad ya kati ya jiji la Dodoma ambayo ilipotia maeneo ya mtaa wa Nkuhungu
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma amesitisha ujenzi wa ringroad hiyo na kuwaruhusu wananchi waendelee na shughuli zao za ujenzi kama kawaida, hii ni baadhi ya miradi ambayo iliasisiwa kipindi Cha Hayati Magufuli enzi za uhai wake ktk kulifanya jiji la Dodoma kuwa na muonekano mzuri na uliopangika vizuri.
Kwasasa mitaani watu wanajasili je hii miradi iliyoasisiwa na Hayati Magufuli itakamiika kweli!? au ndo hivyo tena itabaki hadithi ilisiyokuwa na mwisho!
Japo kuna siku nilimsikia Waziri Mkuu aliwatoa wasiwasi watanzania kwa kusema , watu waondoe mashaka miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na Serikali ya tano yote itakamilishwa kwa muda uleule uliokuwa umekadiliwa awali enzi za uhai wa Hayati Magufuli.
Je, ilikuwa ni kuwatuliza watu pressure za mashaka au ! Kama hii miradi midogo imeanza kusitishwa mdogomdogo je hii mingine ya mabilioni ya pesa itakuwaje? Anyway ngoja tuone mambo yatakuwaje, ila wananchi tukeyatunza maneno ya Waziri Mkuu kwenye kumbukumbu zetu, alitutia moyo na kutuondoa mashaka kwamba miradi yote iliyoasisiwa na Serikali ya awamu ya tano itakamilika.
Waziri Mkuu tunakumbuka maneno yako,ipo siku tutataka utupe maelezo ,ilikuwaje?
View attachment 1812069
#Triumvirate Dodoma ndio nyumbani kwangu,lakini hahiitaji ring road na hapo chako ni chako ndio ilikuwa sehemu yangu ya mambo yetu,japo kama imekufa vile, Hakuna ubize unaohitaji ring roadsVijamaa vya dsm huwa vinajiona nchi ni yenu...pakijengwa kwingine ni upotevu wa pesa eeee
hivi nauliza ukiwekeza fedha zote kwenye afya zikiisha unazipata wapi? lakini hivi ni kweli tuna taifa la wagonjwa kiasi kwamba tukipatacho tuwaze kila siku kuwekeza kwenye hospital huku tukisahau jinsi ya kujenga mazingira rafiki ya uwekezaji ili yalete kodi zitakazoiwezesha nchi kuendelea kuboresha huduma bora?KINACHOHIFADHIWA KWA FUTURE YA MIAKA MINGI IJAYO NI ARDHI, AU FUTUTE STRATEGIC PLANS, NI UPUMBAVU KUPLANI MIRADI YA MIAKA 200 MBELE HUKU RAIA WAKO WAKIKOSA HUDUMA ZA AFYA BORA NA NAFUU,
NI AKILI KUTUMIA FEDHA HIZO KATIKA KUBUNI AU KUANZISHA MIRADI ITAKAYOZALISHA AJIRA ZA KUTOSHA AT MEAN TIME.
Ni makao makuu projection za yajayo ilitaka kuwa na miundombinu hiyo..unataka 20 yrs baadae pawe congested kama dsm?#Triumvirate Dodoma ndio nyumbani kwangu,lakini hahiitaji ring road na hapo chako ni chako ndio ilikuwa sehemu yangu ya mambo yetu,japo kama imekufa vile, Hakuna ubize unaohitaji ring roads
Nimetumia neno (Future strategic plan)Ni makao makuu projection za yajayo ilitaka kuwa na miundombinu hiyo..unataka 20 yrs baadae pawe congested kama dsm?
mhn! haya ndugu Muulize Malkia Elizabeth Gold nzuri ya Tanzania iko wapi?Sasa Dodoma unawekeza nini??
Mvua hakuna, madini hakuna,utalii hakuna, ardhi imejaa chumvi na magadi wewe Mgogo vipi. Dar kuna barandari , dar kuna shughuli za Uvuvi, utalii n.k.
halafu vingi vyakuja wala hapo sio kwao ni mbali kweli na kwao!Vijamaa vya dsm huwa vinajiona nchi ni yenu...pakijengwa kwingine ni upotevu wa pesa eeee
Tulishauri itungwe sheria, tena mimi nilitaka yafanyike mbadiliko ya katiba ili kulinda mali zote za kudumu za uma (serikali) zisiweze kuuzwa, nikajibiwa kuwa katiba si kipaumbele.Kama mnataka isibomolewe itungieni sheria. Inaweza kuitwa "An Act to protect the Legacy of the anointed Supreme John Joseph Pombe Magufuli".