Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Sasa Dodoma unawekeza nini??Ulivyo na ubongo wa kuku unafikri dar hapa bila uwekezaji pangekuwa hivi palivyo?
Mama. Anamfunika mungu wenu kwa kasi ya 9GHuyu mama tumepigwa
Tupa kuleeeeee miradi ya sifa sifa weka miradi yenye akili mamaInatakiwa wafute miradi yote ya Magu, waanzishe Yao na waendelee na ule WA bandari Bagamoyo wamechelewa sana.
#KaziNaIendelee
Jiwe impact !!!! Limeua uchumi kabisa ya Mama ana kazi ngumu sana !!! Tumpe sapoti !!! Washamba tupa chooniNi kweli aipige chini ili ile hela watuwekee mifukoni. Yaani sasa hivi ukipita mitaani unaokota hela nje nje.
Kumbe ni mtwara mlishakuwa na raisi wa kutoka kwenu akawatelekeza mzee mkapa anajua nyie kazi yenu ni umachinga ndombana hamna miradi mikubwa zaidi ya hako kabandari kalichotelekezwaDODOMA pabaya huwezi kupafanya pawe pazuri kwanza mkoa gani upo upo tu umepauka vile. Hiyo Miradi bora wapeleke Mtwara maana tutanufaika na gas na Samak,dagaa,korosho . Damn Dodoma
Hakuna anaemkumbuka labda familia yake na nyie wasukuma tena baadhi !!!!aliharibu hii nchiHapa hautawaona kina missile of the toilet..babati..robert herielii..wao huwa wanakuja kwenye mada za kuwasuta kina sabaya na makondaa..
Mzee alishasema..mtanikumbukaaa..tartiiibuuu tunaelekea hukoo..
Mtu mwenyewe unaitwa crocodile tooth.KINACHOHIFADHIWA KWA FUTURE YA MIAKA MINGI IJAYO NI ARDHI, AU FUTUTE STRATEGIC PLANS, NI UPUMBAVU KUPLANI MIRADI YA MIAKA 200 MBELE HUKU RAIA WAKO WAKIKOSA HUDUMA ZA AFYA BORA NA NAFUU,
NI AKILI KUTUMIA FEDHA HIZO KATIKA KUBUNI AU KUANZISHA MIRADI ITAKAYOZALISHA AJIRA ZA KUTOSHA AT MEAN TIME.
Nyani hawaelewiKUNA WATU WANAFIKI SANA HUMU,HAKUNA JINSI TUTAISHI NAO HIVYO HIVYO.
=======================================
TUKUBALIANE IPO MIRADI AMBAYO ILIANZISHWA KATIKA MWENDO WA KICK TU.
->Daraja la salender (lile la baharini)
Kila nikilitathimini sioni umuhimu wake,
-->pamoja na maintachenji foleni ipo palepale,
#miradi ya kick...!
#population ya dodoma Ahihitaji ring roads,wakajifunze #zimbabwe.
#Dar es salaam lihitaji ring road,ianzie kurasini ipite pembeni ya mji itokeze hata ikibidi chalinze waende ZAO mbali....!
Kamfufue kenge weweWatu huwa wanatizama mbali miaka hata mia mbili mbele huko.
Magufuli alikuwa anatambua kwamba baada ya miaka kadhaa, dodoma itafurika watu.
Ndio maana akaanza kuandaa miundombinu ya kimkakati ili wakati ukifika, watu wasianze kuzubaa zubaa na kutaabika ili shughuli za uchumi ziende haraka haraka na kwa wepesi.
Hiyo inaitwa akili ya kutizama mbali, yaani maono. Na sio kila mtu anaweza kuwa na akili ya aina hiyo hususani watu goigoi kama wewe mnaoishi kwa ujanja ujanja na utapeli wa kisiasa.
Nyinyi magoigoi kwa jinsi mlivyo na akili ya kutawaza mavi tu, mkipewa mlijenge hilo jiji la dodoma, mawazo yote yapo kwenye kuiba pesa za saruji na nondo ili mkanunue mishkaki na magari.
Nchi inayoongozwa na wanuka mikojo wasio na maono mapana ya muda mrefu itaishia kuwa ya ajabu ajabu tu.
Kwa mfano wewe, huna unalolijua zaidi ya kusubiri kuiba nondo na kula machips.
Unakula kula tu machips ya hovyo hovyo!
Wewe mpuuzi unategemea mahamisho ya Serikali ndio hiyo dodoma ikuwe?? Fanyeni kazi mshazoea kitonga na kuomba omba. Mbona mikoa mingine imesahaulika na serikali lakini inapiga bao.Kumbe ni mtwara mlishakuwa na raisi wa kutoka kwenu akawatelekeza mzee mkapa anajua nyie kazi yenu ni umachinga ndombana hamna miradi mikubwa zaidi ya hako kabandari kalichotelekezwa
Hio dar unayoiona imeendelea imetumia miaka zaidi ya 60 kufika hapo ilipo na biashara zote kubwa zikianzia hapo
Dodoma miaka 4 tu za mwendazake mji ulishabadirika kwa haraka vuta picha miaka 54 badae kama serikali itaamua kukomaa kuhamia Dodoma
Nakushangaa mtwara japo mna korosho,gesi,bandari na mnapakana na msumbiji lakini bado dodoma imewazidi na ukame uliopo
Mkuu mfano watu wa dodoma wakahamia mtwara na nyie muhamie dodoma wa mtwara mtaona mko jangwani lakini sisi tunaishi na kutengeneza mji
Mtwara mnazidiwa hata na singinda mkoa wa ukame kabisa
Kwa heshima ya wanamtwara naomba kumuita huyu jamaa takataka
Mwambie mamako amreplaceHuyu mama hakuna kitu, kwa kweli hapa walikosea kwenye kuchanga karata zao.
Usiwasingizie ni sisi wabara hatutaki ujingaMakunduchi Gang kwenye ubora wenu
Miradi ipi ya akili aliyowekeza Mama.Tupa kuleeeeee miradi ya sifa sifa weka miradi yenye akili mama
Tunafanya kazi ndomana tumewazidi mtwara japo tupo jangwani na nyie mpo kwenye neema zote lakini hamtupatiWewe mpuuzi unategemea mahamisho ya Serikali ndio hiyo dodoma ikuwe?? Fanyeni kazi mshazoea kitonga na kuomba omba. Mbona mikoa mingine imesahaulika na serikali lakini inapiga bao.
Sasa kwa akili kama hizi unataka na wewe ujiite great thinker kweli?Sasa Dodoma unawekeza nini??
Mvua hakuna, madini hakuna,utalii hakuna, ardhi imejaa chumvi na magadi wewe Mgogo vipi. Dar kuna barandari , dar kuna shughuli za Uvuvi, utalii n.k.
Wapi nimejiita great thinker??Sasa kwa akili kama hizi unataka na wewe ujiite great thinker kweli?
sio kapenda ameumizwa hivyo hajatulia katika kuwasilisha na hapa ndio mahali pekee kwa kupigia kelele.Mkuu ukiandika weka aya.
Basi ni hivi MWENDA ZAKE kasepa mnarudi mlipo toka. BTW me sio mtu wa mtwara.Tunafanya kazi ndomana tumewazidi mtwara japo tupo jangwani na nyie mpo kwenye neema zote lakini hamtupati
very goodSasa kwa akili kama hizi unataka na wewe ujiite great thinker kweli?