Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Umemujibu vyema huyo black face.
 
Kwa ni hivi, hapo sawa.
 
Kama wananchi wameruhusiwa kuendelea na ujenzi wa nyumba zao, basi ujenzi wa barabara haujasitishwa Bali umefutwa!!
 
Endelea kusherekea ujinga nawe siku yako yaja na kizazi chako utatambua tu kwamba Mungu anajibu matendo yako. Ina maana wewe na ndugu zako hamtakufa? Jitambue sasa tengeneza mapito yako.
Kama alivyotambua mabaya yenu!?? Mliua sasa mkadhani mtaishi milele kumbe na nyie mnakufa!?? Asante Kama umelitambua hilo
 
Acha uongo wewe ni MTU mzima umri umekutupa mkono
 
Tunarudi Dar, Dodoma isubiri kwanza.
 
Mwendazake alimtaka yeye kuwa makamu wake. Alimuamini akijua katiba ya nchi inasemaje yeye asipokuwepo, wewe ni nani kuhoji?
Huyu mama hakuna kitu, kwa kweli hapa walikosea kwenye kuchanga karata zao.
 
Barabara zote muhimi na miondombinu yote muhimu ilijengwa wakati JK akiwa Rais.
 
JK alijenga miondombinu muhimu ya nchi, tumu jiwe hamna kingine cha kuonyesha zaidi ya flyovers na ndege. Watu wa Mbeya, Tanga, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Kigoma hawawezi kuelewa hayo ma flyovers yenu.
 
Watu wanawekeza Dar kwa sababu wanapata faida na uwekezaji wao, Dodoma uwekezaji hautaleta faida ukilinganisha na mikoa mingine mingi.
Ulivyo na ubongo wa kuku unafikri dar hapa bila uwekezaji pangekuwa hivi palivyo?
 
Kilichositishwa ni middle ring road na siyo ile dual Ring roads zinazokutana Nala - Veyula - Mtumba – Ihumwa Dry Port .
 
Acha upuuzi wako. Kila mkoa ni nyumbani kwa Mtanzania yoyote anayetaka kuishi, wala haihitaji passport au visa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
halafu vingi vyakuja wala hapo sio kwao ni mbali kweli na kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…