Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Njia zake zipi? Amekopa na kutuachia deni kubwa sana kwa mabeberu.
Magufuli tu ndiye alijua namna ya kukusanya pesa kwa njia zake .....!!

Huo ni mwanzo. Miradi mingi tu itasimamishwa kwa uhaba wa pesa ....... Siyo rahisi kufanya kazi Kimagufuligufuli!!
 
Hakukwa na haja ya kuhamia Dodoma, kuhamia Dodoma ilipaswa kuwa kipaumbele cha mwisho kwa Rais yeyote makini.
Nyie majitu mavivu ilikuwa lazima Magufuli awapeleke mchakamchaka.

Bila hivyo, tungehamia dodoma miaka mia ijayo.

Wangekuja wajinga kama wewe hapa wakwambie mambo ya sijui upembuzi yakinifu.

Mara sijui tupo kwenye mkakati kabambe wa kuchanganua!

Uvivu uvivu tu...... unachambua kitu gani?

You have the money, DO THE WORK.

Chambua chambua tu. Hata ukitaka kujamba wanakwambia subiri tufanye uchambuzi wa mazingira.

Upuuzi mtupu!
 
Dodoma haitakaa ijae kama Dar, serikali itaendelea kufanyia mambo yake mengi Dar es Salaam zaidi ya Dodoma, labda aje jiwe mwingine.
Hapa wamefanya makosa sana, Dodoma itakuja kujaa kama Dar ishindwe kupitika
 
JK ndiye aliyeacha alama kubwa zaidi ya Rais yeyote katika ujenzi wa miondombinu nchi hii
Tatizo mnabishana hapa bila fact, nenda kasome Ilani ya uchaguzi 2015 miradi yote imeainishwa. Kukamilika kwa miradi inategemea na ukubwa wa mradi husika, SGR au bwawa la umeme huwezi jenga kwa mwaka mmoja.

Miradi midogo midogo kibao imekamilika zikiwemo barabara, zahanati, vituo vya Afya, Hospitali za wilaya, Hospitali za Kanda, Masoko, vituo vya mabasi, madaraja ya juu ikiwemo Ubungo interchange, Miradi ya maji ukiwemo mradi wa kutoa maji ziwa Victoria hadi Tabora.

Magufuli msemeni kwa mengine Kama demokrasia lakini kwenye miradi ya maendeleo kila mkoa ameacha alama.
 
Mwacheni mama afanye kazi. Pegeni kelele mpate katiba mpya ...hapa washngton tunaraha tu hayupo aliye juu ya sheria
 
Ni vyema kwanza tukaambiwa kwanini ujenzi huo umesitishwa, kabla ya kupinga au kuunga mkono.

Sio haki na sio sahihi kabisa kuwaambia watu wasitishe ujenzi wa nyumba zao kwa sababu kuna ujenzi wa barabara halafu ghafla unakuja kuwaambia waendelee na ujenzi wa nyumba zao!!
 
Hakukwa na haja ya kuhamia Dodoma
Orodhesha sababu kwa mpangilio.

Kwamba serikali haikupaswa kuhamia Dodoma kwa sababu moja, mbili, tatu....

Ukiandika tu kama nyumbu aliyekatwa kichwa, tutaaminije hayo unayoyasema?

Hoja za kuitetea Dodoma zipo na zinakubalika:

Kwanza, Dodoma ni makao makuu ya nchi, kisheria na kiutaratibu.

Pili, Dodoma ipo katikati ya nchi, kwahiyo shughuli zote za kiofisi zitafanywa kwa ufanisi bila kuathiriwa na umbali.

Tatu, Dodoma ni sehemu salama kwa ajili ya makazi ya Rais kutokana na jografia yake.

Nne, serikali kuhamia Dodoma kumesaidia kupunguza ujazo wa watu Dar es salaam. Maofisi mengi na shughuli nyingi za kibiashara zimeanza kuwekezwa Dodoma.

Tano, kuhamia Dodoma kumesaidia kuupanua mji wa Dodoma na kuujenga kiuchumi.

Yaani wewe mtu mmoja wa mtandaoni usiyejulikana hata jina, unawezaje kusema hayo yote si kitu tena kwa kisentensi kimoja tu?

Unaitwa nani wewe?
 
JK alijenga miondombinu muhimu ya nchi

Vasco Dagama yuko ulaya anabembea kwenye matoroli ya wazungu.

Ona hii....
IMG-20210606-WA0005.jpg
 
Kwanza, Dodoma inaweza kuendelea kubaki kuwa makao makuu ya serikali, kisheria na kiutaratibu katika makaratasi ili kuwaridhisha wanaopenda kuganda katika mawazo ya Nyerere na kuona anaendelea kuheshimiwa.

Pili, Dodoma kuwa katikati ya nchi haifanyi shughuli zote za kiofisi kufanywa kwa ufanisi bila kuathiriwa na umbali.Nairobi, Kampala, Washington, London,Beijing n.k haziko katikati ya nchi zao.Ni ushamba kuamini mji mkuu unapaswa kuwa katikati ya nchi.

Tatu, Dar es Salaam na miji mingine pembeni ya bahari ni sehemu salama zaidi kwa ajili ya makazi ya Rais kutokana na jografia zake.Rejea jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 na jinsi Nyerere alivyoweza kiwatoroka waasi.

Nne, serikali kuhamia Dodoma hakujasaidia kupunguza ujazo wa watu Dar es salaam. Ukiacha Maofisi ya serikali tu shughuli nyingine nyingi za kibiashara bado ziko Dar es Salaam.

Tano, hatupaswi kupanua miji kama Dodoma na kuijenga kiuchumi kwa kuhamishia makao makuu ya nchi katika hiyo miji. Kama hivyo ndivyo tunavyofanya, tuhamishie makao makuu mji mwingine baada ya Dodoma ili kuukuza?
Orodhesha sababu kwa mpangilio.

Kwamba serikali haikupaswa kuhamia Dodoma kwa sababu moja, mbili, tatu....

Ukiandika tu kama nyumbu aliyekatwa kichwa, tutaaminije hayo unayoyasema?

Hoja za kuitetea Dodoma zipo na zinakubalika:

Kwanza, Dodoma ni makao makuu ya serikali, kisheria na kiutaratibu.

Pili, Dodoma ipo katikati ya nchi, kwahiyo shughuli zote za kiofisi zitafanywa kwa ufanisi bila kuathiriwa na umbali.

Tatu, Dodoma ni sehemu salama kwa ajili ya makazi ya Rais kutokana na jografia yake.

Nne, serikali kuhamia Dodoma kumesaidia kupunguza ujazo wa watu Dar es salaam. Maofisi mengi na shughuli nyingi za kibiashara zimeanza kuwekezwa Dodoma.

Tano, kuhamia Dodoma kumesaidia kuupanua mji wa Dodoma na kuujenga kiuchumi.

Yaani wewe mtu mmoja wa mtandaoni usiyejulikana hata jina, unawezaje kusema hayo yote si kitu tena kwa kisentensi kimoja tu?

Unaitwa nani wewe?
 
Kwanza, Dodoma inaweza kuendelea kubaki kuwa makao makuu ya serikali, kisheria na kiutaratibu katika makaratasi ili kuwaridhisha wanaopenda kuganda katika mawazo ya Nyerere na kuona anaendelea kuheshimiwa.

Pili, Dodoma kuwa katikati ya nchi haifanyi shughuli zote za kiofisi kufanywa kwa ufanisi bila kuathiriwa na umbali.Nairobi, Kampala, Washington, London,Beijing n.k haziko katikati ya nchi zao.Ni ushamba kuamini mji mkuu unapaswa kuwa katikati ya nchi.

Tatu, Dar es Salaam na miji mingine pembeni ya bahari ni sehemu salama zaidi kwa ajili ya makazi ya Rais kutokana na jografia zake.Rejea jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 na jinsi Nyerere alivyoweza kiwatoroka waasi.

Nne, serikali kuhamia Dodoma hakujasaidia kupunguza ujazo wa watu Dar es salaam. Ukiacha Maofisi ya serikali tu shughuli nyingine nyingi za kibiashara bado ziko Dar es Salaam.

Tano, hatupaswi kupanua miji kama Dodoma na kuijenga kiuchumi kwa kuhamishia makao makuu ya nchi katika hiyo miji. Kama hivyo ndivyo tunavyofanya, tuhamishie makao makuu mji mwingine baada ya Dodoma ili kuukuza?
Umenijibu au umekanusha hoja zangu?

Umepiga chabo na kupesti kama yale magoigoi ya darasani.

Hebu tuambie, ni kwa nini serikali haipaswi kuhamia Dodoma?
 
Kwa sababu kuhamia Dodoma ni kupoteza pesa za walipa kodi wanyonge bila sababu za msingi. Hizo pesa za kuhamia Dodoma zingeweza kufanya mambo mengine muhimu.
Umenijibu au umekanusha hoja zangu?

Umepiga chabo na kupesti kama yale magoigoi ya darasani.

Hebu tuambie, ni kwa nini serikali haipaswi kuhamia Dodoma?
 
KUNA WATU WANAFIKI SANA HUMU,HAKUNA JINSI TUTAISHI NAO HIVYO HIVYO.
=======================================
TUKUBALIANE IPO MIRADI AMBAYO ILIANZISHWA KATIKA MWENDO WA KICK TU.
->Daraja la salender (lile la baharini)
Kila nikilitathimini sioni umuhimu wake,
-->pamoja na maintachenji foleni ipo palepale,
#miradi ya kick...!
#population ya dodoma Ahihitaji ring roads,wakajifunze #zimbabwe.
#Dar es salaam lihitaji ring road,ianzie kurasini ipite pembeni ya mji itokeze hata ikibidi chalinze waende ZAO mbali....!
Kwahiyo mkuu wewe unasubiri mpaka kuwe na foleni ndiyo ujenge barabara nyingine!!??

Lakini ninachojua mimi barabara ya ring road ya Dodoma bado ipo na inaendelea kwenye process ya kujengwa hiyo inayotajwa hapo kwenye barua ni nusu ring road siyo inayojulikana hata pesa walishapata toka Benki ya Afrika kama sikosei.
 
Mtu mwenyewe unaitwa crocodile tooth.

Akili yote iko kwenye meno na kutafuna machips tu.

Ungejiita walau mikono ya chuma tutambue kwamba unapenda kufanya kazi ngumu.

Unawaza kula kula tu hovyo bila kujishughulisha. Watakupakua wenzio.

Nchi lazima iwe na miundombinu madhubuti na ya muda mrefu ili kukidhi shughuli za kiuchumi.

Ndio maana Dar es salaam imekuwa ya hovyo kwa sababu ya walevi wa wakati ule ambao hawakuijenga inavyopaswa.

Sasa lazima tujitambue. Lazima tujenge miji yetu kama watu wenye akili timamu.
(Acha maneno machafu)
mwalimu alipata shida sana!,[Tuwe na strategy plan za muda mrefu,namaanisha plani za barabara,mitaa,viwanja,vya makazi,makanisa misikiti na sheria za ujenzi baada ya kununua.] lakini kipumbavu upeleke ring roads sehemu yenye watu LAKI9,ni kupoteza pesa kipumbavu,
 
Back
Top Bottom