kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Inaonekana ni kama Dodoma bus terminal imewapenya kweli kweli na huo ni mwanzo tu,
Kwa video ni soko jipwa dodoma.
Embu post hizo bus terminal zenu za kisasa tuone.Aje sasa bus terminal inayokaa kujengwa miaka ya 1970s itupenye? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bus terminal za kisasa zinakaa hivi. Hii design yenu mtaishi nayo miaka 100 ijayo.
Mlikuwa na nafasi ya kurekebisha lakini wapi.
View attachment 1493466View attachment 1493467View attachment 1493468
Embu post hizo bus terminal zenu za kisasa tuone.
Imewapenya na huo ni mwanzo tu.
Yaani unajibu comment yangu kwa kutumia bus terminal za wenyewe badala utumie za kenya kunijibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Imeshapenya sasa.
Now is official Dodoma vs Nairobi
Dodo Bus Terminal vs NairobiDodoma labda ikashindane na Roysambu ama Eastleigh
Story za wakati ujao "itakapo jengwa" ama kweli wivu na ujinga ni kitu mbaya sana,Mbona mkajenga stendi mpya 2020, lakini design ya jengo ni 1970?
Nairobi hatuna stendi mpya ya basi. Lakini itakapo jengwa design itakuwa ya 21st century.
Story za wakati ujao "itakapo jengwa" ama kweli wivu na ujinga ni kitu mbaya sana,
Halafu nimekujibu hapo kwa kupost soko jipwa Dodoma usijifanye hujaona,
Hii nyingine inajengwa Mbezi Dar es salaam na ujenzi ulianza kitambo.
Leta picha za bus terminals za Nairobi.Dodoma kweli kuna jengo ama project yoyote kubwa ya mtu ama kampuni binafsi?
Kila nikiona hapa ni jengo ama project ya serikali.
Hii ni capital city ya aina gani?
Leta picha za bus terminals za Nairobi.
Or admit that Dodoma has a best bust terminal in a region.
Hivi una habari ni stendi ngapi zimejengwa Tz na zinazoendelea kujengwa au unaandika tu vitu kujipa matumaini,Nairobi stendi tutajenga haja ikitokea.
Pia, jiji la Nairobi ni jiji la stendi mingi. Haliwezi shibishwa na stendi moja.
Stendi zake za kwenda kila kona ya nchi zimetapakaa kote. Hii pia ni kuwezesha biashara za streets mbali mbali.
Hatuwezi katupa mabasi yote eneo moja kama kijiji cha Dodoma. Tukifanya hivi tutamaliza uchumi wa maeneo mbali mbali ya jiji.
Acha mbwembwe leta picha za Nairobi bus terminal.Nairobi ni jiji sio kijiji.
Kwahiyo hata airport mnazo nyingi hapo Nairobi kila ndege inatua kwenye Airport yake? Inaonesha hata maana ya regional bus terminal hujui maana yakeNairobi stendi tutajenga haja ikitokea.
Pia, jiji la Nairobi ni jiji la stendi mingi. Haliwezi shibishwa na stendi moja.
Stendi zake za kwenda kila kona ya nchi zimetapakaa kote. Hii pia ni kuwezesha biashara za streets mbali mbali.
Hatuwezi katupa mabasi yote eneo moja kama kijiji cha Dodoma. Tukifanya hivi tutamaliza uchumi wa maeneo mbali mbali ya jiji.
Nilifikiri ni JNIA kumbe soko la wakulima. joto la jiwe ichoboy01 mkorinto Trubarg babayao255 CARIFONIA
Hilo soko ni kama wamejengewa wakulima wa Tanzania, sababu ndio hulijaza pomoni na mazao yao kuja kuwalisha lazy asses around thereLeo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. ππππ Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?
Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? π π π
Haya oneni pia Sonko amejenga soko ya masaa 24.
View attachment 1493446
Kwahiyo hata airport mnazo nyingi hapo Nairobi kila ndege inatua kwenye Airport yake? Inaonesha hata maana ya regional bus terminal hujui maana yake
Unafikiri hiyo ni kama commuter bus stops