Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

Wapi makaazi ya watu?
Mnajenga soko mbali kama airport.

Dodoma bila pesa ya serikali ya taifa hakuna chochote.
Dodoma kuna project nyingi tu ingia SSC ujionee ..za serikali ndo zinazopata airtime kubwa na ndo zimekuja nyingi at once...but watu wanajenga hotels, offices, houses..of course sio super tall builidings but 7flrs -10flrs zipo
 
Duh asubuhi tu basi kumbe huwa zinatoka nyingi namna hio. Almost basi 50 na bado hazijaisha.

Niliwahi sikia zinaingia basi 700 hapo ubungo daily nikahisi uzushi ila kwa huu uwingi tu wa basi za kutoka huenda ni kweli.
Mkuu kumbe unapitaga anga hizi za wakunua 😀
 
Back
Top Bottom