kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
- #21
Hilo soko ni kama wamejengewa wakulima wa Tanzania, sababu ndio hulijaza pomoni na mazao yao kuja kuwalisha lazy asses around there
LA Morogoro looks thousands modern than that
Kenya hatuna shida. Bora tunanunua chakula.
Tuuzieni hoho na vitunguu, nasi tutawauzia bidhaa za viwanda.