Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

Hilo soko ni kama wamejengewa wakulima wa Tanzania, sababu ndio hulijaza pomoni na mazao yao kuja kuwalisha lazy asses around there

LA Morogoro looks thousands modern than that

Kenya hatuna shida. Bora tunanunua chakula.
Tuuzieni hoho na vitunguu, nasi tutawauzia bidhaa za viwanda.
 
Kenya hatuna shida. Bora tunanunua chakula.
Tuuzieni hoho na vitunguu, nasi tutawauzia bidhaa za viwanda.
hamuna shida na munakufa na njaa kila mwaka mkisubiria msaada kutoka nchi zenye jangwa asilimia 100πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
alisema kwa kumaanisha kweli πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
modern market in dodoma
 
Dodoma kweli kuna jengo ama project yoyote kubwa ya mtu ama kampuni binafsi?
Kila nikiona hapa ni jengo ama project ya serikali.
Hii ni capital city ya aina gani?
Huo ni mji wa kiserikali na umewekwa hapo kimkakati. Hapo lazima zitakuwa project za Serikal pekee.
 
It's a Tanzania thing. You and I cannot understand......they have a thing for bus stations!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…