Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

Kiwanja ni kikubwa cha sq.1000,kipo karibu na nyumba za shirika la nyumba(NHC).

Bei mil.13.

Mawasiliano: 0765920855

Makulu naweza kupata chumba selfu kwa 50000 miezi 3
 
Vyumba vya Elfu 20 vipo mkuu?,kuna jamaa yangu anataka kuja kupambana hapo Dodoma ni apeche alolo
 
Hivi maji huko dodoma niaje maana katika kitu ambacho ni mtihani ni kuishi sehemu maji safi na salama ni tatizo. Mambo ya kutumia maji ya chumvi aiseee huo ni mtihani.
 
Hivi maji huko dodoma niaje maana katika kitu ambacho ni mtihani ni kuishi sehemu maji safi na salama ni tatizo. Mambo ya kutumia maji ya chumvi aiseee huo ni mtihani.
Maji ni ya chumvichumvi,yanapatikana.
 
Kiwanja,kipo Iyumbu bei mil.14,hicho chenye alama ya kijani.
IMG-20221014-WA0003.jpg
 
Kiwanja,bei mil.9,kipo Iyumbu,Dodoma,mtaa wa UDOM,hicho chenye dots nyekundu.
IMG-20221014-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom