Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 565
- 902
- Thread starter
- #41
Sq.909,being milioni 5.5,kipo jirani kabisa na hospitali ya Benjamin Mkapa na UDOM pia,karibu.0765920855
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza hivyo, kwa sababu nimeona kama sqm chache[emoji134] halafu bei kubwa[emoji134]Hapana,angalia sq. mkuu,viko separately.
Sorry! ni hivyo vyenye red dots kwa umoja wake.Ni vizuri ukaja kuviona.Nimeuliza hivyo, kwa sababu nimeona kama sqm chache[emoji134] halafu bei kubwa
Mkuu vipo sehemu mbalimbali,na vinauzika,kama sasa hivi mteja aliyetoka kuhudumiwa,kapelekwa Chamwino sehemu moja inaitwa Vikonze,kachukua ekari mbili ambazo kauziwa kwa mil.4,ni squater lakini.Mbona iringa road utangaze viwanja mkuu kama mkonze,muungano n.k wewe unalenga upande mmoja tu?
Mbona iringa road utangaze viwanja mkuu kama mkonze,muungano n.k wewe unalenga upande mmoja tu?
Sidhani! Mpango wa chuo kila mwanafunzi anaejua admitted hapo lazma awe na kitanda. Lakini unaweza pia kamua kupanga kwa ajili ya shughuli zako binafsi na privateHostel za UDOM siku hizi hazitoshi?
Bado kipo.Kiwanja kipo Iringa road,bei 6000000/= ni hicho namba 918 chenye sq.521
Husemiviringa sehemu gani ?Bado kipo.