Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

Umbali gani kutoka main road ya Moro/Dar?
Ni cha Makazi? Au makazi na Biashara?
Haizidi kilomita 4 hadi main road ya Dom-Moro...,japo siyo exactly,nimefanya approximation.Kwa makazi kinafaa zaidi,hata pia kwa biashara kinafaa.
 
Kiwanja ni kikubwa cha sq.1000,kipo karibu na nyumba za shirika la nyumba(NHC).

Bei mil.13.

Mawasiliano: 0765920855

Your browser is not able to display this video.
 
Makulu naweza kupata chumba selfu kwa 50000 miezi 3
 
Vyumba vya Elfu 20 vipo mkuu?,kuna jamaa yangu anataka kuja kupambana hapo Dodoma ni apeche alolo
 
Hivi maji huko dodoma niaje maana katika kitu ambacho ni mtihani ni kuishi sehemu maji safi na salama ni tatizo. Mambo ya kutumia maji ya chumvi aiseee huo ni mtihani.
 
Hivi maji huko dodoma niaje maana katika kitu ambacho ni mtihani ni kuishi sehemu maji safi na salama ni tatizo. Mambo ya kutumia maji ya chumvi aiseee huo ni mtihani.
Maji ni ya chumvichumvi,yanapatikana.
 
Kiwanja,bei mil.9,kipo Iyumbu,Dodoma,mtaa wa UDOM,hicho chenye dots nyekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…