Mkuu vipo sehemu mbalimbali,na vinauzika,kama sasa hivi mteja aliyetoka kuhudumiwa,kapelekwa Chamwino sehemu moja inaitwa Vikonze,kachukua ekari mbili ambazo kauziwa kwa mil.4,ni squater lakini.
Sidhani! Mpango wa chuo kila mwanafunzi anaejua admitted hapo lazma awe na kitanda. Lakini unaweza pia kamua kupanga kwa ajili ya shughuli zako binafsi na private