bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
Jamaa anatuchanganya sasa sisi tulio huku nje tuamini kipi sasa ?kwani mkuu alivyotolewa dodoma alipelekwa nairobi au muhimbili??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anatuchanganya sasa sisi tulio huku nje tuamini kipi sasa ?kwani mkuu alivyotolewa dodoma alipelekwa nairobi au muhimbili??
Hata wewe Mungu atakapoamua ndio utakuwa mwisho wako, au hufahamu hivyo?Taarifa inayoeleweka ni kwamba Mungu anampigania,yupo na ataendelea kuwepo hadi pale Mungu atakapoamua mwisho wake..
Vipi, unataka habari nyingine?
Alipelekwa dodoma, then akapelekwa muhimbili kwa matibabu zaidi na usiku huu ndio kapelekwa nairobi tena!!Jamaa anatuchanganya sasa sisi tulio huku nje tuamini kipi sasa ?
Si wangempeleka moja kwa moja Nairobi ?Alipelekwa dodoma, then akapelekwa muhimbili kwa matibabu zaidi na usiku huu ndio kapelekwa nairobi tena!!
Ni kila binaadamu, bila kujali mamlaka na nguvu aliyonayo hapa duniani!Hata wewe Mungu atakapoamua ndio utakuwa mwisho wako, au hufahamu hivyo?
Hata mimi ndio nashangaa mkuu ila ma dokta ndio wanaamua, labda waliona ni kesi kubwa kwao so haikua na jinsi zaidi ya kumpeleka Nairobi!! tumuombee apone kwa kweli!!Sasa kwanini ulimpelek
Si wangempeleka moja kwa moja Nairobi ?
Dar inaenda kufanya nini? si wamesema anapelekwa Nairobi?Na hii ndege imenyanyuka uelekeo ni Dar es salaam.
Kokote atakakopelekwa saw a,naomba UZIMA juu take. Nimeumia sanaNilikua airport ya dodoma usiku huu ndio Tundu Lissu kabebwa na ndege ya serikali. Ndege ilitua majira ya saa 23:12 usiku na imepaa sasa hivi saa 00:21 usiku.
Zile picha zilizokua zimesambaa mchana za helikopta nyekundu sijui nani alipotosha. Na hii ndege imenyanyuka uelekeo ni Dar es salaam.
Magari na watu ni wengi waliokua wamekuja kumsindikiza airport, kwa mliopo dodoma mtaona magari mengi ya wabunge ndio yanatoka airport.
Source; mimi mwenyewe nilikua airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar inaenda kufanya nini? si wamesema anapelekwa Nairobi?
Dar inaenda kufanya nini? si wamesema anapelekwa Nairobi?