Mkuu haya maumivu tunayoyapata sisi nadhani yanaweza kuyafikia japo kidogo ya Mh.LisuKokote atakakopelekwa saw a,naomba UZIMA juu take. Nimeumia sana
Haya ni mawazo ya kingese katika maisha. Watu wote wangekuwa na mawazo kama haya dunia isingesonga wala isingekuwa kama ilivyo sasa. Maendeleo ya aina yoyote ile huja kwa watu ku-sacrifice maisha yao. Babu zako kina Mkwawa na wale wa majimaji waliuawa hata ikazaa cheche ya unaouita uhuru leo hii. Kuna mtu ali-sacrifice katika familia yako kwa kukesha akasoma au akifikiri na kupanga mbinu za biashara usiku kucha ili kuijenga familia yake, ndipo zikapatikana fedha za kukupeleka wewe shule leo, mjanja wewe. Hata Nape alisema ali-sacrifice kwa kulala nje hata kuna watu leo hii wamekuwa waheshimiwa wakijinadi wao wamekuwa waheshimiwa kwa akili zao. Wewe unaandika ukipendacho hapa JF lakini ukumbuke Maxence Melo alilala sero na still ana kesi kwa ku-sacrifice maisha yake ili kulinda privacy yako.Unafiki UPI mkuu? Wewe umelala kwako raha tuliii sisi tunauguza. Mtatuambia alikuwa shujaa pengo lake halizibiki.
Mawazo familia inateseka, wangwe pengo limezibwa watoto wanahaha, Mwangosi mjane anapata shida na iringa mwandishi keshaziba pengo.
Msitudanganye.
Ukirudi baba tuachane na siasa. Tuendeleze uwakili tuuu.
MisinformedDar inaenda kufanya nini? si wamesema anapelekwa Nairobi?
Nape nae si ni kwa vile alikuwepo hamorapa, angetusuliwa siku hiyojamaa katushtua sana watanzania kwa lililompata,sijawahi kuamini kuwa ni kweli binadamu anaweza kudhamilia kuutoa uhai wa mwenzie kisa siasa...
Wewe
Jibu Safi SanaHaya ni mawazo ya kingese katika maisha. Watu wote wangekuwa na mawazo kama haya dunia isingesonga wala isingekuwa kama ilivyo sasa. Maendeleo ya aina yoyote ile huja kwa watu ku-sacrifice maisha yao. Babu zako kina Mkwawa na wale wa majimaji waliuawa hata ikazaa cheche ya unaouita uhuru leo hii. Kuna mtu ali-sacrifice katika familia yako kwa kukesha akasoma au akifikiri na kupanga mbinu za biashara usiku kucha ili kuijenga familia yake, ndipo zikapatikana fedha za kukupeleka wewe shule leo, mjanja wewe. Hata Nape alisema ali-sacrifice kwa kulala nje hata kuna watu leo hii wamekuwa waheshimiwa wakijinadi wao wamekuwa waheshimiwa kwa akili zao. Wewe unaandika ukipendacho hapa JF lakini ukumbuke Maxence Melo alila sero na still ana kesi kwa ku-sacrifice maisha yake ili kulinda provacy yako.
Dunia ipo hivyo, usiogope kufa kwa utakaowaacha kwasababu kwa namna yoyote ile huna agano na Mungu la kuishi ili kuilea familia yako. Unachotakiwa ni kufa ukiacha legacy katika jamii regardless ulikufa ukiwa na miaka mingapi. Badilikeni, dunia ya kujenga uadui ndani ya nchi moja ni dunia iliyokuwa chini ya mkoloni kwenye makoloni yake.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahishwa na tukio la leo,ila tunaamini hakuna damu ya mtu inamwagika bure ipo mtayalipa haya yote nyie na familia zenu,InshaallahWataisingizia serikar sana wakati wenyewe hata kubadirishana uwenyekiti wanashindwa sasa kwa nini wasiuwane kama wanaona kuna mtu anakiherehere!
Sent using Jamii Forums mobile app
Misinformed
Jr[emoji769]
Uliwahi sikia lini ccm ikatangaza mgombea uraisi kabla ya miaka mitatu ya uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa akili ya kuvukia barabara haingii akilini kabisa kwanza helicopter ina space ya kutosha kubeba machela ile na vitu kibaoafadhali wewe ndugu,
kuna vijamaa viongo sana vya chadema mitandaoni.
wengine leo tumeacha shughuli kwa uchungu tunafuatilia updates wao wanatuletea masihara ya helikopta nyekundu inatairi hadi mkiani.
Mungu atamponya Lisu, Japo chadema siikubali wala yeye wakati mwingi, ila hili la lissu limeniuma sana sana, hadi mchana machozi yamenilenga.
sio hivyo tu, swali langu lilikiwa helikopter ya mgonjwa dom nairobi ni muda mrefu saana.Mkuu kwa akili ya kuvukia barabara haingii akilini kabisa kwanza helicopter ina space ya kutosha kubeba machela ile na vitu kibao
Na haiwezi kutokea
Anapelekwa Muhimbili kwa mujibu wa Ummy mwalimuDar inaenda kufanya nini? si wamesema anapelekwa Nairobi?